Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Leo umegonga mwamba.View attachment 393447
Wana bodi serikali ya Kenya inazidi kuwajengea wananchi wake uhakika wa safari za jijini Nairobi baada ya kuanzisha safari za ndege aina ya helkopta kama tax.
Haya ni maendeleo makubwa sana kwa jiji la Nairobi, sisi sijui ndege zetu zitaingia lini ili nasi tujidai kupata usafiri wa DSM-Kibondo!
Amen.Exactly, in god we trust.
hii kauli inatulemaza sana, kila kitu mbuyu ulianza kama mchicha, miaka 55 hii mi sijaona hiyo mibuyu tunayoambiana...
View attachment 393447
Wana bodi serikali ya Kenya inazidi kuwajengea wananchi wake uhakika wa safari za jijini Nairobi baada ya kuanzisha safari za ndege aina ya helkopta kama tax.
Haya ni maendeleo makubwa sana kwa jiji la Nairobi, sisi sijui ndege zetu zitaingia lini ili nasi tujidai kupata usafiri wa DSM-Kibondo!
Wewe unaweza kukodi ndege kukutoa eneo moja hadi lingine jijini kwako? (kama upo jijini) au kujishaua tuView attachment 393447