Wakati bongo tukizisubiri ndege 2 za mkoa hadi mkoa, Kenya kuna ndege za jijini Nairobi


Unaleta UCHOCHEZI, hahahahahahahaha BONGO KICHWA CHA MWENDAWAZIMU UKILETA HOJA NGUMU wanakudaka na UCHOCHOZEI
 
Mbona hayo mambo ya maelkopta Tanzania yapo muda mreefu sana kama hamjui kitu tafadhali muwe mnauliza.
Mpaka BBC wanajua Tanzania inatumia usafiri binafsi wa elkopta kama taxi.

 
Binafsi simkubali Magufuli ila sioni sababu ya kuanzisha thread ya aina hii, siri ya kuendelea ni kujikubali pamoja na mapungufu yako. Kenya ni Kenya na Tz ni Tz
Kwani hata wanavyotuponda hapa ni kama wanatupenda. Maana wao kwa wao wakikutana kwenye maslahi yaani mkamba na mjaluo wana chuki ya kuuwana
 
Bongo zipo za Private wale Everest Aviation's I think dola 100 kwa SAA Kenya wako vizur kila sector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…