Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Masikini ndivyo tulivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KATIBA MPYA ndio SULUHISHO la UOZO wote huuKabisa, hatujawahi kuwa na Bunge la aina hio, na nini sasa kifanyike?
Wewe unaona matumizi ya Seriklu ni sawa? The way pesa zinatumika?Binafsi Sijaona kama ni Mzigo wowote kwangu na Kwa mtu yeyote kulipa Tsh 5 katika kila vocha ya 1000 Kama Kodi ili iende kwenye miradi ya maji, barabara,afya n.k
Tunalalamika kupitiliza, tukikuta barabara mbovu malalamiko, changia sh 5 tujenge barabara bado malalamiko eti ni Mzigo.Tulipe Kodi ili tupate haki ya kuilalamikia serikali na kuikosoa.
Sio kwamba tuna umasikini wa hivyo wa kuelemewa na sh 5,10,100 ,ni akili tu za kimaskini.
Kwa wale waliopata kutembelea nchi za huko ulimwengu wa kwanza, watakubaliana na mimi kwamba sisi bado hatulipi Kodi tunafanya mchezo.
Tulipe Kodi Wakuu tuache porojo za kijinga, hii nchi ni yetu itajengwa Kwa jasho letu
Itabidi vyama vya wafanyakazi, wanafunzi wa vyuo vikuu, maaskofu, mashehe na asasi za kijamii kupaaza sauti kuhusu hili. Kama sauti zao zitadharauliwa basi itabidi waandae maandamano. Ya nchi nzima na sio Dar peke yake. Watawala wakiona kuna hali hiyo basi watakuwa na busara ya ku"manage the change".Well said mkuu, sasa tunafanyaje make naona kama tunaangamia