Wakati CCM kushirikiana na magereza na polisi kupandisha bendera Dodoma, jeshi la polisi Same washusha bendera za CHADEMA

Wakati CCM kushirikiana na magereza na polisi kupandisha bendera Dodoma, jeshi la polisi Same washusha bendera za CHADEMA

dosama

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
912
Reaction score
959
Hapa makada watiifu wa CCM Same wakishusha bendela za CHADEMA ambao wana kikao cha ndani kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Bendera.jpg
 
CCM inajua kuwapoteza maboya sana,sasa mada zitakuwa hizi rasmi.
 
Mngeenda kuweka pale ufipa wakaja kutoa apo Sawa ila Bara Baran achen lawama Bana
 
Tunasubiri wafanye hivi mkoa flani hivi, kitakachofuata maiti zitaokotwa asubuhi, maana za kwao wanaweka ulinzi usiku, ulinzi wa bunduki! Pesa za walipakodi wa Danganyika
 
Sitatamani mwanangu afanye kazi ya polisi.Ni kazi ya kisisiemu na ni kazi ya kudharaulika sana ktk jamii, hata ukiwa msomi ndani ya mavazi ya polisi unaonekana mwanafunzi wa awali.
#Newactivist Kilwa94
Mama angu aliapa kabisa kwamba siku nikiingia jeshi la polisi nitafute na mama yangu mwingine maana ana amini ni kazi ya laana
 
Mngeenda kuweka pale ufipa wakaja kutoa apo Sawa ila Bara Baran achen lawama Bana
Kwa nini barabarani wasiweke? Kuna mtu ana hati miliki ya nchi hii? Vijana wa kitanzania acheni ubumunda!
 
Back
Top Bottom