Wakati Diamond akiwasihi Watanzania kutosapoti show za Promota Victor, Kiba na MwanaFA busy na show

Hivi kama ww umeweza kuona hilo kwanini wengine wasilione???
 
Mm nadhani hayo ni maamuzi ya msanii mwenyewe kuchagua mtu wa kufanya nae kazi what your supposed to do as fan you have to support him where your support required
 
chezea ulaya wewe, akirudi kwenye inst "baada ya tour ndefu ya ulaya nimerejea home watu wangu" na sisi mashabiki pilau tunatia na kizungu "keep going bro"
 
da una miakuli wewe jamaa
 
Kiba nenda kasalimie familia,nenda kafanye issue zako hata kama hulipwi,naamini wewe ni mtu mzima una uwezo wa kureason na kuamua!!

unaushabiki maandazi wewe kila kitu wewe unaleta maneno tu huwezi kujenga hoja .....wasichana wengine bhna aaaahrgg!!!!
 
Mbona sisi tunamsihi dai aache u... Lakini anaendelea?

mimi eti upeo wangu unaniambia u...... ni kuwa na uhusiano na zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, but one after another sijui unaanzaje kuniita ma........!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo sio Diamond hau wasanii wengine tatizo promota ndio mdhulumati
Victor dj rule...kwahiyo nashindwa elewa why kiba na mwana fa wanaendelea kufanya nao kazi

hope wamejipanga tayari so hawawezi tapeli kama diamond ndio maana wamekubali kufanya nae kazi.
 
Kiba nenda kasalimie familia,nenda kafanye issue zako hata kama hulipwi,naamini wewe ni mtu mzima una uwezo wa kureason na kuamua!!
kweli wewe ndio matildakibokoyao wa kiba, haijalishi comment yako itakufanya uonekane mbulukaz kiasi gani, wewe haja yako ni kumtetea kiba tu, so hata kwa bure kiba aende tuuu???? sasa naona ni kwa kiasi gani unampenda kiba.
 
mimi eti upeo wangu unaniambia u...... ni kuwa na uhusiano na zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, but one after another sijui unaanzaje kuniita ma........!!!!!!!!!!!!!!!!
Shogaa usibadilishe nlilichomaanisha!!
 
kweli wewe ndio matildakibokoyao wa kiba, haijalishi comment yako itakufanya uonekane mbulukaz kiasi gani, wewe haja yako ni kumtetea kiba tu, so hata kwa bure kiba aende tuuu???? sasa naona ni kwa kiasi gani unampenda kiba.
Kuna shida kwani?nampenda Kiba wewe unamchukia!Mie mburula wewe mburulest!!Naona unataka kuanza na mie tena afu ukimbilie kuniita katili!!
 
Kuna shida kwani?nampenda Kiba wewe unamchukia!Mie mburula wewe mburulest!!Naona unataka kuanza na mie tena afu ukimbilie kuniita katili!!

hata mi namkubali tena sana, ila siwezi kujitoa ufaham kwa ajili yake. akifanya poa my thumb will turn up for him na akifanya ndivyo sivyo my thumb will turn down, so as to provide him a room to improve.
 
Tatizo la victor huwa anawapa sound kuwa kabla show haijaanza basi atawamalizia pesa yao, hapo huwa anategemea pesa ya mlangoni ndio amalize deni. .....wasanii wengi wameshamjua hivyo kwa ally kiba na mwanafa mpk wanakuja kufanya show basi ujue kuna makubaliano makubwa tu. ...kwanza mwanafa na ally kiba walikuja kufanya video yao ya "kiboko yangu" kisha wakarudi bongo then wanarudi tena. ...hivyo kuna uwezekano hata hii show kwa asilimia kubwa ni yao(wameandaa wenyewe) hivyo victor ni kama msimamizi tu.
 
Victor haoni taabu kuingia mitini na gate collection kama wanavyofanya mapromota wengine wa kibongo!! Dawa ya Victor ni kukumalizia chako kabla hujapanda vinginevyo, umeumia! Kwa hii show ya sasa HUENDA akajifanya muungwana ili kujenga imani lakini hata kama atawalipa, watakaokuja baadae wasipowa makini lazima awalize... Hawa akina Diamond waliotaka kulizwa mwaka huu hayo yalitokea wakati huko nyuma wengine wameshalizwa mmoja baada ya mwingine!
 
Newmanisha kupika ugali lkn kutukaribisha wali mezani kukiwa na ndizi asnte
 
Sasa hii habari uliyoleta unazungumia nini hasa?kutapeliwa kwenye show au watoto wa Kiba?Jipange wewe
Hebu sasa niwashangae kwa kujiamini wanaojifanya kumuelewa mtoa hoja maana mwanzo nilidhani mimi ni zuzu nimeshindwa kuelewa lengo la thread!
 
huyo mwanafa 2012 aliingia nchi moja ya ulaya show haikulipa akashindwa kulala hata hotel ikabidi alale hostel za chuo moja mbona nauli ya kurudi alisaidiwa
 
Mkuu chige umeongea vizuri,wasanii wabadilike waachane na matapeli,Dj Ras Eddy(Eddy mapara)katulia mzanzibari wawatu,sema kibongobongo hana jina,lakini kwa Dublin anatisha.Wakina Snoop Lion,Pharell William,Damian Marley wanamfahamu.
 
chezea ulaya wewe, akirudi kwenye inst "baada ya tour ndefu ya ulaya nimerejea home watu wangu" na sisi mashabiki pilau tunatia na kizungu "keep going bro"

Hahahahahahahah, umenchekesha sn mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…