Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli adui wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe...kwanza walitapeliwa
mwana fa na ay,ay akaongea mpaka radioni kumtusi victor dj rule kuwa aliwatapeli show yao birmingham then tid tukamsikia kwenye facebook hawa wachache then diamond juzi kati alisema kwenye ig yake kutapeliwa na victor... Kiba ndo husiseme yeye huwa anapigishwa sound tu lakini cha kushangaza kiba na huyo huyo mwana fa bado wanakuja kufanya show na huyu huyu victor dj rule..
Haya inasemekana kiba alizaa watoto kipindi anakuja kufanya show na huyu bwana victor sasa sijui yeye anachanganya biashara na urafiki...maaana watu wa karibu wanasema kiba huwa halipwi ila yeye husamehe tu..kweli nimeamini wasanii asilimia kubwa upeo mdogo..
Watu wengine wanaleta ushabiki hata pasipo na sababu ya kuleta ushabiki! Kwa watu wa UK, hakuna asiyemfahamu Victor; katapeli wasanii mara kibao tu... si mara moja wala mara mbili. Na hata list iliyotajwa na mleta mada kwamba walitapeliwa na Victor ni ndogo sana.... wasanii karibu wote wenye majina Bongo wameshatapeliwa na huyu jamaa including na baadhi ya wasanii kutoka +254!
Hata hivyo, mwaka huu Diamond hakutapeliwa na huyu jamaa coz' aligoma kupanda jukwaani hadi amaliziwe chakei!
Nadhani wasanii wangeanza kushituka hivi sasa... pale Dublin kuna pomota mmoja anaitwa Dj Ras Eddy, wangemgeukia huyu jamaa kwa show za UK.
Anyway, all in all, kauli ya Diamond haikuwa sheria bali alichofanya ni kutoa tahadhali kwa wasanii wenzake! Kama wengine wanaona poa tu; hivyo hivyo... then well and good for them... wana haki hata ya kufanya show hata bure na popote watakapo lakini hili halikuwa suala la kuleta ushabiki!
Kiba nenda kasalimie familia,nenda kafanye issue zako hata kama hulipwi,naamini wewe ni mtu mzima una uwezo wa kureason na kuamua!!
Mbona sisi tunamsihi dai aache u... Lakini anaendelea?
Aache uropokaji!!umeelewa!
Tatizo sio Diamond hau wasanii wengine tatizo promota ndio mdhulumati
Victor dj rule...kwahiyo nashindwa elewa why kiba na mwana fa wanaendelea kufanya nao kazi
kweli wewe ndio matildakibokoyao wa kiba, haijalishi comment yako itakufanya uonekane mbulukaz kiasi gani, wewe haja yako ni kumtetea kiba tu, so hata kwa bure kiba aende tuuu???? sasa naona ni kwa kiasi gani unampenda kiba.Kiba nenda kasalimie familia,nenda kafanye issue zako hata kama hulipwi,naamini wewe ni mtu mzima una uwezo wa kureason na kuamua!!
Shogaa usibadilishe nlilichomaanisha!!mimi eti upeo wangu unaniambia u...... ni kuwa na uhusiano na zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, but one after another sijui unaanzaje kuniita ma........!!!!!!!!!!!!!!!!
Shogaa usibadilishe nlilichomaanisha!!
Kuna shida kwani?nampenda Kiba wewe unamchukia!Mie mburula wewe mburulest!!Naona unataka kuanza na mie tena afu ukimbilie kuniita katili!!kweli wewe ndio matildakibokoyao wa kiba, haijalishi comment yako itakufanya uonekane mbulukaz kiasi gani, wewe haja yako ni kumtetea kiba tu, so hata kwa bure kiba aende tuuu???? sasa naona ni kwa kiasi gani unampenda kiba.
Kuna shida kwani?nampenda Kiba wewe unamchukia!Mie mburula wewe mburulest!!Naona unataka kuanza na mie tena afu ukimbilie kuniita katili!!
Victor haoni taabu kuingia mitini na gate collection kama wanavyofanya mapromota wengine wa kibongo!! Dawa ya Victor ni kukumalizia chako kabla hujapanda vinginevyo, umeumia! Kwa hii show ya sasa HUENDA akajifanya muungwana ili kujenga imani lakini hata kama atawalipa, watakaokuja baadae wasipowa makini lazima awalize... Hawa akina Diamond waliotaka kulizwa mwaka huu hayo yalitokea wakati huko nyuma wengine wameshalizwa mmoja baada ya mwingine!Tatizo la victor huwa anawapa sound kuwa kabla show haijaanza basi atawamalizia pesa yao, hapo huwa anategemea pesa ya mlangoni ndio amalize deni. .....wasanii wengi wameshamjua hivyo kwa ally kiba na mwanafa mpk wanakuja kufanya show basi ujue kuna makubaliano makubwa tu. ...kwanza mwanafa na ally kiba walikuja kufanya video yao ya "kiboko yangu" kisha wakarudi bongo then wanarudi tena. ...hivyo kuna uwezekano hata hii show kwa asilimia kubwa ni yao(wameandaa wenyewe) hivyo victor ni kama msimamizi tu.
Hebu sasa niwashangae kwa kujiamini wanaojifanya kumuelewa mtoa hoja maana mwanzo nilidhani mimi ni zuzu nimeshindwa kuelewa lengo la thread!Sasa hii habari uliyoleta unazungumia nini hasa?kutapeliwa kwenye show au watoto wa Kiba?Jipange wewe
chezea ulaya wewe, akirudi kwenye inst "baada ya tour ndefu ya ulaya nimerejea home watu wangu" na sisi mashabiki pilau tunatia na kizungu "keep going bro"