Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Wasalaam
Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi?
Hotuba ya juzi ya makamanda wa USA ilionyesha kabisa kwamba dunia si salama na dunia iwe tayari kukabiliana na kile kinachoitwa WW3.
Ikumbukwe kuwa, haya yote kwa wasomaji wazuri pia wa Kitabu kinachoitwa Grand book yaani Biblia kitabu chenye maajabu, kinatanabaisha kuwa, vita vya tatu vya Dunia ni lazima vianze na taifa la Urus ambalo Kwa mjibu wa kitabu hicho kinasema, ilidhaniwa kuwa walilivunja nguvu taifa hilo Kwa kulimega vipandevipande Biblia inasema, taifa hilo litakuwa likijikusanya nguvu zake karine na karine na muda utafika ambapo litaanzisha vuguvugu ya kuunda Upya Umoja wa taifa hilo, na ndipo Taifa kubwa zaidi likiungana na mataifa mengine wataipiga hiyo nchi, na ndipo kutatokea WW3
Na sasa ni dhahili,
Naiasa Serikali yangu, kutumia muda huu mfupi kuimarisha sector ya kilimo na kutenga bajeti kisha kutoa fungu la kutosha ili kukiwezesha kilimo kuwa ni cha kisasa, yatengwe maeneo spesho Kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji ili kuepuka baa la njaa lijalo ambalo litatisha.
Kitabu kile cha ajabu kinasema, Vita hivi vitasababisha unga kukosekana, itakuwa mtu na pesa lakini atalala njaa,
Serikali yangu, naishauri, kama pesa ya tozo inaishia kwenye madarasa pekee, itafika hatua shule zitajifunga zenyewe maana hapatakuwa na watoto, Kwa sababu njaa itakuwa ni Kali mno!
kuepusha hilo ni kuiwezesha sasa wizara ya kilimo ili ifanye kazi na siyo blaa blaa!
Wakati Yusuphu akiwaambia Wamisiri kuhusu miaka 7ya njaa na 7ya shibe, wengi walimdharau na kumcheka, ila walikuja kumshukuru baada ya mfalume kumwamini na kufanyia kazi wazo lake
Serikali kwanza ikumbuke, Kwa mwaka huu peke take kama haitachukua hatua, kuna njaa kubwa nchini Kwa sababu ya mazao mengi kuungua na jua na mvua kuwa haba!
Tuwawezeshe sasa wakulima Kwa vitendo kuepuka dhahama inayokuja
PS, Niko zangu mashambani nasubiri mvua ya masika!