Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,911
- 3,016
Ww unafaa vibokoViboko kwa mtu yoyote viishe, viboko ilikuwa ni enzi za ujima.
Kwasababu hujui unachokiongea dogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unafaa vibokoViboko kwa mtu yoyote viishe, viboko ilikuwa ni enzi za ujima.
Hiyo ndiyo Rangi yako Halisi....Hata hivyo hatukuwachagua walikua na kura zao tayari. Haya ni
Matokeo ya uchafuzi wa October 28
Jitathimin sana, watu kama nyie ndiyo mnasababisha wanawake waonekane hamnazo kumbe siyo kweliNi
Nimekuzoea kwa maneno yako ya Hovyo..... Hivi kile walichofanya mpaka kupelekea kupigwa Viboko wewe Hamnazo Unaona ni sahihi?
Inaonekana bado una akili zakikoloni wewe.Mambo yakupiga kama punda yalishapitwa na wakati ndo maana taratibu zakisheria zipo haijalishi mtu kafanya kosa gani.Acha kutetea upuuzi kwasababu tu hayajakukuta.dunia duara.Jibu swali kwanza waliochapwa viboko wamefanya kosa gani? Mkuu imekuaje tena Mbona hivyo....?
keyboard warrior, ila ungebananishwa eneo la tukio chini ya vyombo vya usalama, ungekubali yaishe sana sana labda ungeenda kumpiga kipapaiHahahahaaaa,... unajua jana nimeangalia ile clip nikajichukulia ndio mm asee yule mama ananichapa bakola aseee angekula RKO moja akashuka nayo ardhin akizinduka adabu atakuwa nayo.
hatuwezi kuendesha nchi kwa kubembelezana, ukizingua unakula mboko😂😂😂Unamaanisha aliechapa ndio ana hadhi waliochapwa hawana hadhi?
Swala la utu halina ngazi za cheo, tuhuma walizonazo zinaweza kuwa za msingi na kukutwa na makosa na sijasema nawaunga mkono kwa tabia hiyo ila hatua iliyochukuliwa na hao manyampala si sawa na siwez kuunga mkono swala kama hili hata nipelekwe kaburini.
Unajua mambo mengine kabla ya kumhukum mtu jiweke wewe kama mhusika natumain utafanya maamuzi ya hekima, ebu niambie watoto wa hao waliochapwa sasa wapo katika hali gani hapo mtaani.
Jitafakari mwenyewe mambo mangapi unakosea je, na wewe uwajibishwe kwa kucharazwa hadharani?
Kwa upeo wako ni sawa mkuukeyboard warrior, ila ungebananishwa eneo la tukio chini ya vyombo vya usalama, ungekubali yaishe sana sana labda ungeenda kumpiga kipapai
Sawa kiranja uje ujichanganye ndipo utajua kuwa mtawala anatawala vitu na si watu.hatuwezi kuendesha nchi kwa kubembelezana, ukizingua unakula mboko😂😂😂
Huu Utumbo uliouweka hapa wazazi wako wanajua...?Inaonekana bado una akili zakikoloni wewe.Mambo yakupiga kama punda yalishapitwa na wakati ndo maana taratibu zakisheria zipo haijalishi mtu kafanya kosa gani.Acha kutetea upuuzi kwasababu tu hayajakukuta.dunia duara.
Hapana. Ukirudi nyumbani unakuwa mpole, na kama mke wako akikuuliza ni yepi yaliyojiri huko, unamwambia nilipata katatizo kidogo njiani lakini tumeyamaliza huko-huko kiume.Unarudi nyumbani unamwambia mke wako nimetoka kucharazwa bakora.
Nani kachapwa hadharani kwani?Hii tabia ya viongozi kuchapa raia viboko ni udhalikishaji na ukatili unaopaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ki tendo cha kumpigia viboko mtu mzima hadharani ni kumshushia thamani na utu wake. Maafa ya kisaikolojia atakaa nayo mtu yule kwa muda mrefu na wengine hatutaelewa wameathirika kiasi gani.
Hivi tukifunga milango na kuwachapa bakora hawa viongozi. Kama wanategemea polisi mpaka polisi wafike tumesha walamba bakora za kutosha. Kutoka hapo tutaheshimiana.
Watoto wa masikini hao mnaowapa elimu bure mna wachapa vya kutosha. Na sasa mmeamua kuwachapa wazazi wao. Shule zinazo jielewa zimesha achana na adhabu za viboko leo mnapiga viboko watu wazima hadharani.
Tukifurahia maafa ya viongozi mnatuona wabaya wakati chuki mnaitengezeza wenyewe.