Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

Wakati feisal kaingia mitini huku akiwa na mkataba Yanga kuliibuka kundi kubwa la mashabiki wa Simba wakimsupport ile mbaya wakidai ni haki yake

Haya sasa imetokea kwao kwa kibu dennis nategemea nguvu zile zile walizokua wanatumia kumsupport feisal wazitumie kwa kibu dennis

Kwa sasa hivi maumivu yale yale waliyokua wanayapata yanga ndo wao sahivi wanayapata

Tulisema lile jambo la feisal sio la kushangilia ila hawakuelewa sasa nawao linewatokea

UBAYA UBWELA imekua kinyume na matarajio yao.

PIA SOMA
- Simba kumchukulia hatua za kinidhamu Kibu Denis kwa kutokuripoti kambini
Sasa muda wa Yanga kumsapoti tapeli la DR Congo Kibu.
Kumpa uraia ili achezee Taifa Stars tulifanya kosa sana, uhamiaji imfutie uraia.
 
Mkataba wa Dube uliona au unachagua upande sababu ww ni 5imba?

Ila uhuni hauna upande ndio maana leo ni zamu yako na sababu hatuja ukemea utajirudia tena siku nyingine.

Haya tunawasubiria tuone mtafanyaje, ila ENDAPO KIBU AKITOBOA ( elewa hii sentence),basi kaa ukijuaa atafanya kama alichofanya Fei,tupo hapa ni swala muda tu.
Simba hawajakataa hela kutoka kwa KIBU, mwambie atie mpunga uone kama simba watahangaika nae
 
Back
Top Bottom