Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ubaya UBWELILIHaya mambo tuliyaongea sana hapa tukawawekea hadi vifungu vya sheria vilivyokuwa vinampa haki hiyo Feisal.
Sio lazima yafanyike makubaliano ya pande mbili ili mkataba uweze kuvunjwa.
Ndio maana mnashauriwa kuweka demand kubwa kwenye termination ya contract ili kuzuia uvunjwaji holela.
Kibu ikitokea anavunja Mkataba basi tegemea Simba itapiga jackpot.