Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

Haya mambo tuliyaongea sana hapa tukawawekea hadi vifungu vya sheria vilivyokuwa vinampa haki hiyo Feisal.

Sio lazima yafanyike makubaliano ya pande mbili ili mkataba uweze kuvunjwa.

Ndio maana mnashauriwa kuweka demand kubwa kwenye termination ya contract ili kuzuia uvunjwaji holela.

Kibu ikitokea anavunja Mkataba basi tegemea Simba itapiga jackpot.
Ubaya UBWELILI
 
"....Huu ni ustaarabu tu....." kwa hiyo tunakubaliana mpira wetu umejaa uhuni?
Una siasa na janja janja kiasi fulani hivyo na wachezaji nao wanaingia kwenye mfumo.
Kwa hiyo akitumia Fei style,kwa kudeposit kiasi atakacho kiona yy kinafaa na kesho yake akasema yupo huru mtamruhusu.....? Weka unafiki pembeni na kuwa mkweli.
Mchezaji akitumia style ya Fei awe tayari kulipia gharama Club inayotaka kulingana na mkataba. Na hii itamuumiza mno maana Club yenye akili lazima iweke kipengele kigumu mno kifedha.
Halafu nilishawahi kukwambiaga wewe kwenye issue ya Fei na nilikuambia ukiruhusu uhuni, kila siku utakuwa unajirudia.......... ukaona hili ni la Yanga,sasa hivi zamu yenu.
Sio suala la kuruhusu, ni suala la mkataba. Unaingia mkataba wa aina gani na wachezaji wako? Kuna mahakama ya soka mkuu, ukiona unafanyiwa uhuni unashtaki ukishinda unalipwa.
Utofauti wa Dube na Fei upo wapi au ndio umeamua kuchagua upande........?
Utofauti upo kwenye Yanga na Azam. Yanga hawakusema wazi wanataka kiasi gani kwa Fei kulingana na mkataba ili aondoke mpaka raisi alipoingilia kati, Azam iliweka wazi kuwa kulingana na mkataba Dube alipe nini ili aondoke.
 
Una siasa na janja janja kiasi fulani hivyo na wachezaji nao wanaingia kwenye mfumo.

Mchezaji akitumia style ya Fei awe tayari kulipia gharama Club inayotaka kulingana na mkataba. Na hii itamuumiza mno maana Club yenye akili lazima iweke kipengele kigumu mno kifedha.

Sio suala la kuruhusu, ni suala la mkataba. Unaingia mkataba wa aina gani na wachezaji wako? Kuna mahakama ya soka mkuu, ukiona unafanyiwa uhuni unashtaki ukishinda unalipwa.

Utofauti upo kwenye Yanga na Azam. Yanga hawakusema wazi wanataka kiasi gani kwa Fei kulingana na mkataba ili aondoke mpaka raisi alipoingilia kati, Azam iliweka wazi kuwa kulingana na mkataba Dube alipe nini ili aondoke.
Nimekuwekea mfano je Lille walikosea kwa kutokutaja dau la mchezaji?

Vp nyie sasa mnasubiri nini kutaja dau la Kibu maana tayari kishaonesha utovu wa nidhamu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Vp nyie sasa mnasubiri nini kutaja dau la Kibu maana tayari kishaonesha utovu wa nidhamu.
Kibu hajasema anaomba kuvunja mkataba. Ni hayupo kambini na Club imejiandaa kumpa adhabu. Akisema anataka kuvunja mkataba atapewa dau, asiporudi bila kusema lolote atashtakiwa.

HALAFU, USIAMINI SANA VIONGOZI WETU, PICHA HALISI ITAONEKANA NI SUALA LA MUDA, INASEMEKANA KIBU YUPO KWENYE MAJARIBIO NA AKIPITA SIMBA ITAPATA MKWANJA MZURI TU, AKIKOSA ANARUDI NA SIMBA VIONGOZI WANAJUA, KINACHOENDELEA NI SIASA TU.
 
Viongozi hawajui na ndio maana jana umeiona ile barua na Kibu hajawaaga hata management yake kwa mujibu wa mahojiano ya jana, yaani alicho fanya ni zaidi ya uhuni. Ila ngojea tuwaone nyie mtafanyaje.
 
Viongozi hawajui na ndio maana jana umeiona ile barua na Kibu hajawaaga hata management yake kwa mujibu wa mahojiano ya jana, yaani alicho fanya ni zaidi ya uhuni. Ila ngojea tuwaone nyie mtafanyaje.
Kwani ushamsikia Kibu mwenyewe? Amesema anataka nini?
 
Hata feisal alifanya uhuni na wakamchangia munaweza waonea huruma ila wao tuliwaambia hiki anachofanya feisal sio kitu cha kushabikia leo kimewatokea
Ubaya ubwela
Naona slogan imewakaaa sasa....
Mtaiimba sana yaniii...😀😀
##ubayaa ubwelaaaa###
 
Kwani ushamsikia Kibu mwenyewe? Amesema anataka nini?
Jana meneja wake aliongea, Kibu anatafutwa wiki nzima hapokei simu.Ndio maana kuanzia manahement, timu yake mpaka waandishi wa habari wakimpigia hapatikani.
 
Na Meneja hajui matakwa ya mteja wake si ndio?
Hamna meneja ndiye aliye simamia deal hili jipya na nyie,ila hizi harakati za nje meneja hajashirikishwa, Kibu anafanya mwenyewe kimya kimya.
 
Hamna meneja ndiye aliye simamia deal hili jipya na nyie,ila hizi harakati za nje meneja hajashirikishwa, Kibu anafanya mwenyewe kimya kimya.
Kwa hiyo meneja hajui Kibu anachofanya na yeye anasubiri si ndio?
 
Acha kufananisha scenario mbili tofauti

Kibu hata leo akitaka kuvunja Mkataba anavunja, cha msingi atimize matakwa ya mkataba kwa mujibu wa makubaliano.
Nadhani hata Yanga walimtaka Feisal afuate Matakwa ya Mkataba. Tofauti ya suala la Kibu na Fei ni kuwa Fei hakuwa na uelewa wa masuala ya mkataba. Kwa upande wa Kibu anaonekana ana uelewa wa Mkataba ila ameamua kufanya uhuni tu. Kitu in common wanacho share Fei na Kibu ni kuwa wote wamekiuka matakwa ya kimkataba.
 
Wewe hujielewi.
Hivi team inatimiza matakwa yote ya mchezaji, inalipa mshahara, posho, usafiri, accomodations, n.k kama mkataba unavotaka then mchezaji alete usela avunje mkataba tu
Hivi huo mpira utachezwa kweli?
TFF suala la fei toto walijichanganya na kila mchezaji atatumia hilo gap kurubuniwa na team zingine na kuondoka.
Nauliza tena unazijua sheria za termination of contract without just cause?
 
Mbona Azam Dube alitaka kuwapa dollar 100k Azam wakakataa, inamaana Azam waliingia tamaa?

Mpira ni biashara na mwenye bidhaa ndiye hupanga bei na wala sio tamaa na ndicho Yanga alichofanya kwa Fei na Azam wakafanya hivyo hivyo kwa Dube.

Ila Kibu akitoboa Norway atafanya kama alichofanya Fei,anawawekea mzigo kesho anatangaza yupo huru. Ila kwa kuwa la Kibu lipo kwenu tutawaona nyie msiokuwa na tamaa,mtafanyaje.
Azam mbona waliweka wazi nini ambacho Dube alitakiwa kukifanya kwa wakati ule ili awe huru

Demand ya Club kwa mchezaji kuvunja mkataba ili awe huru ni kulipa USD 300K we unakuja na USD 100K hiyo si ridiculous?
 
Mkuu, mchezaji hajiamulii atakavyo, anafata mkataba wake mmekubaliana nini pale ambapo anataka kuondoka.

Kama mmekubaliana kuwa ili aondoke anatakiwa aandike barua ya kuvunja mkataba na alipe gharama za usajili plus mishahara ya miezi 12 yeye akifanya hivyo hata asipokuja kukaa na wewe kuzungumza tayari katimiza takwa la mkataba la kuvunja mkataba wake. Yaani hata wakifanya kikosi kizima inawezekana kabisa na timu yako itagawa p3 za bure kwa wengine usubiri msimu uishe.
Usikute viongozi wa 5imba wanawachezesha madogoli..!! Ukute wametibuana hukoo hawajafikia muafaka akaamua kutimka.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom