Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

Sasa muda wa Yanga kumsapoti tapeli la DR Congo Kibu.
Kumpa uraia ili achezee Taifa Stars tulifanya kosa sana, uhamiaji imfutie uraia.
 
Simba hawajakataa hela kutoka kwa KIBU, mwambie atie mpunga uone kama simba watahangaika nae
 
Simba hawajakataa hela kutoka kwa KIBU, mwambie atie mpunga uone kama simba watahangaika nae
Ndio walisema au wewe ndiye uliyesema,wewe subiria wakati ufike then tutaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…