Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Inatokea mfumo unaamua huyu mtu anapaswa aonekane amefariki. Mara nyingi huwa ni kwa ajali au kulazwa kwa muda flani n.k but mazishi ya huyu mtu hupotezwa kwa namna flani.
Inawezekana sura yake isioneshwe au anaweza uawa kwa ajali na kuchomwa moto akapotezwa kabisa. Ilhali kiuhalisia anakuwa amepelekwa nchi nyingine mbali akaishi huko. Huwa ni kwa sababu maalum. Na kunakuwa na mtu mmoja anayefahamu katika familia. Mara nyingi huwa hivyo.
Hii huwa ni kwa makubaliano maalum na kwa sababu flani flani.
Akiwa mafichoni kama risk ni kubwa kwa waliomficha huwa anaenda kuuawa tena safari hii kiukweli ukweli sasa kukata mzizi wa fitna. Na mwili wake utapotezwa na kuharibiwa kabisa. Safari hii itakuwa gone for good. Na mara nyingi hufanyika hivi kuondoa a risk threat.