Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Joseph Kabila has launched the construction of new airport terminal in Kinshasa Congo.
Wa Congo wenzangu hoyeee !
IMG_20180502_234827.jpg
IMG_20180502_234820.jpg
IMG_20180502_234833.jpg
IMG_20180502_234841.jpg
 
Ina maana unataka kuilinganisha DRC na Tanzania au na nchi nyingine kama Somali au Sudan ? Halafu hiyo Demo ya Airport mbona full Wazungu tu ?
 
Ina maana unataka kuilinganisha DRC na Tanzania au na nchi nyingine kama Somali au Sudan ? Halafu hiyo Demo ya Airport mbona full Wazungu tu ?
Na JKIA😀😀 Wako na hiyo old building wanaifanyia refurbishment kila siku.😀😀
 
Na JKIA😀😀 Wako na hiyo old building wanaifanyia refurbishment kila siku.😀😀
Hata kama, lakini Tanzania sio ya kuinganisha na DRC. Tanzania iko mble ya DRC mara 1000000000000.
 
Rwanda in Kigali have also started the construction of new Bugesera International airport😀😀 Wenzetu wanafanya refurbishment of the old buiding😀😀
Architectural-design-of-New-Bugesera-International-Airport-NBIA-Landside-Perspective.jpg
NBIA_Airport-2_edit.jpg
artfichier_417104_7293136_201708080654919.jpg
15023205053.jpg
Aug11.jpg
 
Hata kama, lakini Tanzania sio ya kuinganisha na DRC. Tanzania iko mble ya DRC mara 1000000000000.
wacha upumbavu wewe! DRC is our trading partner na kwa maendeleo haya inalinganika na Tanzania. Peleka majigambo yako Kenya! Mumbi wahedi wewe!
 
Hata kama, lakini Tanzania sio ya kuinganisha na DRC. Tanzania iko mble ya DRC mara 1000000000000.
Hivi wewe umevamia JF. Unajua JKIA ilipo ? 😀😀 au unafananisha na JNIA😀😀 Hapa nalinganisha terminal ya Kinshasa na Nairobi ya Jomo Kenyatta. Soma vizuri thread😀😀 Usikulupuke😀😀
 
Ina maana unataka kuilinganisha DRC na Tanzania au na nchi nyingine kama Somali au Sudan ? Halafu hiyo Demo ya Airport mbona full Wazungu tu ?
Kwani demo kuwa na wazungu ni tatizo. Naona unapata maumivi. Pole sana Uhuruto mlimchagua wenyewe na Jubilee yao.
 
Hoyee! Viwanja vya Isiolo, Kisumu na Eldoret vyote vina-underperform. Wameingiwa baridi. Mwanza airport not international inahudumia wateja wengi zaidi ya Eldoret na Kisumu combined.
ama kweli huna akili timamu wewe...unalinganisha hivyo vibanda vyenu vya mabati na nini???😀😀
Mwanza-Airport-620x309.jpg
FOREIGN201508310745000463902643803.jpg
 
so kwa akili yako 3 million ndio ya kujigamba?😀😀😀😀😀😱😱😱
Of course wait when the regional most modern Terminal III is open. JKIA will easily be eclipsed looking at the number of airlines aligned to ply to dar!
 
Back
Top Bottom