Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

Bado Dodoma international Airport

Hiyo ndio itaenda kua showstopper kwa Akina fulani
 
yaani barani africa kama wewe si ethiopia au south africa....ufyate tu mdomo wako...
901e9a4f0aec46eba4aabccd39ccb190.jpg
 
hahahaha...hub ni moja tu wala terminal haitobadilisha hilo...Nairobi is the hub of EA...swali moja kwanza...do you have direct flights to USA, UK, France?😀😀😀😀
Wewe akili yako imeanza kupatwa na kutu. Do you the meaning of a Hub ?? What makes JKIA to be a Hub ?? Kilichokuwa kinainyima JNIA uwezo ni Terminal building ya kisasa. Parking space ilikuwa ni ndogo sana. Kulikuwa na traffic kubwa sana JNIA. Kuhusu hub sahau tena hapo JKIA.. Kwa sasa international flights zitakuwa na lounges pamoja na offices kwenye hii terminal building mpya. Pia JNIA inaenda kuwa hub.
 
narudia...hub ni moja tu East Africa Community...hayo yote kelele za chura tu
901e9a4f0aec46eba4aabccd39ccb190.jpg
 
wajinga hawana hata direct flights ila wanafungua mdomo wao
 
Tutafika tu... 1978 Kenya walitucheka sana sana. Wakati huo Mwl Nyerere alikuwa amefunga mpaka wetu na Kenya. Iddi Amini kuvamia nchi. Neill wakaanza awawezi awaweziiiii, wanaume wakaingia kazi. Miezi sita nchi ya Uganda ikawa chini ya Mwl Nyerere. Na Hii ni hivyohivyo. Tunaidharau Tanzania. Kesho mtaishangaa Nenda ukaone wanavyo jenga Jengo jipya JNIA Google Map ya JNIA DAR uone majaabu ya Tanzania
 
upload_2018-5-3_10-42-39.png

ukitazama Richard hapa ndio utaelewa kuwa hub barani africa zipo tatu tu...nairobi, addis ababa na johannesburg
 
Attachments

  • upload_2018-5-3_10-42-24.png
    upload_2018-5-3_10-42-24.png
    176.9 KB · Views: 20
yaani barani africa kama wewe si ethiopia au south africa....ufyate tu mdomo wako...
901e9a4f0aec46eba4aabccd39ccb190.jpg
Ume panic😀😀 Mauritius airline makes more profit than Kenyan airline😀😀 Huna hata aibu kuonyesha kuwa mko na destination chache compared to Eth and SA airline😀😀 Oooh ! My God i have realised why you make loses !! 😵😵 With those routes mgetumia Bombardier CS 300 mgekuwa mnatengeneza faida cause they can reach to Asian continent from Africa and fuel efficent alafu Boeing mkawa nazo chache !! 😵
 
we ni ngombe tu...sasa profit inahusiana kivipi na kuwa hub???? hivi unajua kuwa south african airline inapatwa na losses kila mwaka???
 
zipo direct flight sisi kama air tanzania tunaanza mwaka huu baada ya ujio wa 3 new brand aircrafts
hahaha no direct flight hamna hata ya Mumbai tu hamna😛😛😛😛😛...mtalii lazima apitie nairobi kwanza ndio aje humo
 
Ume panic😀😀 Mauritius airline makes more profit than Kenyan airline😀😀 Huna hata aibu kuonyesha kuwa mko na destination chache compared to Eth and SA airline😀😀 Oooh ! My God i have realised why you make loses !! 😵😵 With those routes mgetumia Bombardier CS 300 mgekuwa mnatengeneza faida cause they can reach to Asian continent from Africa and fuel efficent alafu Boeing mkawa nazo chache !! 😵
kinachowaumiza ni leased aircrafts maana wenye nazo wanahitaji mahesabu ndege ifanye kazi au isifanye hesabu iko pale pale😀😀😀😀😀😀😀
 
we ni ngombe tu...sasa profit inahusiana kivipi na kuwa hub???? hivi unajua kuwa south african airline inapatwa na losses kila mwaka???
na kq je???? 5 good years😀😀😀😀 mpaka mumeanza kurudisha ndege kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom