Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

JKIA handles 8 million passengers
JNIA handles 2.5 million passengers
Congo airport handles less than 1 million
do the math
Inabidi kwa sasa uanze kujifunza mahesabu yakutoa😀😀 Hizo terminal building za kisasa zinaenda kuifanya N'dliji, Bugesera na JNIA kuwa Hub. Hope you understand the meaning of a Hub. JKIA mtabaki na magofu. Kwa sasa Africa is rising lakini naona nyie mmelala. Mtakumbuka shuka kumekucha😀😀😀
 
Hoyee! Viwanja vya Isiolo, Kisumu na Eldoret vyote vina-underperform. Wameingiwa baridi. Mwanza airport not international inahudumia wateja wengi zaidi ya Eldoret na Kisumu combined.
huku zanzibar ikihudumia 2.5m passengers hhaha huu mwaka watalia kilio cha kondoo
 
Of course wait when the regional most modern Terminal III is open. JKIA will easily be eclipsed looking at the number of airlines aligned to ply to dar!
Wataalamu wa aviation wamesema Terminal two ikianza kazi in two years time itakuwa imefika 5 million😀😀 Nimewambia waanze kujifunza mahesabu ya kutoa 😀😀 Things are changing real fast in Africa.😀😀
 
Inabidi kwa sasa uanze kujifunza mahesabu yakutoa😀😀 Hizo terminal building za kisasa zinaenda kuifanya N'dliji, Bugesera na JNIA kuwa Hub. Hope you understand the meaning of a Hub. JKIA mtabaki na magofu. Kwa sasa Africa is rising lakini naona nyie mmelala. Mtakumbuka shuka kumekucha😀😀😀
hahahaha...hub ni moja tu wala terminal haitobadilisha hilo...Nairobi is the hub of EA...swali moja kwanza...do you have direct flights to USA, UK, France?😀😀😀😀
 
JKIA yaani mweke kilimanjaro, darisalum airport na zanzibar zote ila bado hawaifikii😀😀😀😀
8 million passengers sio mchezo
 
ngombe kwa kelele huwawezi kumbe hawamo hata top 20😀😀😀
chart-Most-connected-airline-hubs-in-Africa1.png
 
mtz ni mtu wa ajab sana...yaani wanaimba huku kule kumbe hata hawamo popote
CHT-Africa-top-10-airlines.png
 
Back
Top Bottom