Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
sawa nakubaliana mna direct flight bas...direct flight za kwenda mwanza airport toka darisalam😀😀😀😀😀zipo direct flight nyingi sana bro kama uko tayari kuelewwa niko tayari kukuonesha😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa nakubaliana mna direct flight bas...direct flight za kwenda mwanza airport toka darisalam😀😀😀😀😀zipo direct flight nyingi sana bro kama uko tayari kuelewwa niko tayari kukuonesha😀😀😀😀
usiumie hvo sasa yani unaumia kias kwamba mpaka machozi unatoa😀😀😀😀sawa nakubaliana mna direct flight bas...direct flight za kwenda mwanza airport toka darisalam😀😀😀😀😀
wahenga wanasema heri mkate nusu kuliko kukosa mkate kabisa...nyie airline imekuwa kaburini miaka 20...ndio mnafufua 2018😀😀😀na kq je???? 5 good years😀😀😀😀 mpaka mumeanza kurudisha ndege kwa wenyewe
hahahahaha maybe wewe tu...hapa mbona tuna direct flight kwenda city zote za europe?? kisha tunaanza USA...nyie mna direct flight ipi😛😛😛😛usiumie hvo sasa yani unaumia kias kwamba mpaka machozi unatoa😀😀😀😀
sijui kama unaufahamu wa direct flight juzi qantas imeleta watalii direct flight to KIA 310 tourists😀😀😀 ndege 747 imelipia 3 days parking fee hehehehahahahaha maybe wewe tu...hapa mbona tuna direct flight kwenda city zote za europe?? kisha tunaanza USA...nyie mna direct flight ipi😛😛😛😛
Hawa ndugu zetu muda sio mrefu wataanza kutuletea tatizo la uhamiaji haramu. Kwani hali yao mbaya sana, yaani viongozi wanapiga pesa vibaya sana kwenye Miradi hewa.Hoyee! Viwanja vya Isiolo, Kisumu na Eldoret vyote vina-underperform. Wameingiwa baridi. Mwanza airport not international inahudumia wateja wengi zaidi ya Eldoret na Kisumu combined.
Usiwe mshamba hub airport nikitovu chakugawa abiria kwenda maeneo mengine. Ndege zinakuja kuchukua nakuacha abiria kuendelea na safari. To achieve that kwanza lazima uwe na ndege zako mwenyewe. Same thing Rwanda na Tanzania tumefanya. Usichukue screenshot zakipindi Richard anaeleza jinsi Terminal yenu ilivyounguwa nakutaka kuspin mada. We are smart and watching.View attachment 764322
ukitazama Richard hapa ndio utaelewa kuwa hub barani africa zipo tatu tu...nairobi, addis ababa na johannesburg
Kibanda lakini kinalipa kuliko Kisumu international airport hata Arusha airstrip inaizidi Kisumuama kweli huna akili timamu wewe...unalinganisha hivyo vibanda vyenu vya mabati na nini???😀😀
![]()
![]()
we endelea kulia lia tu lakini nshakwambia airport hub ni moja tu ukanda huuUsiwe mshamba hub airport nikitovu chakugawa abiria kwenda maeneo mengine. Ndege zinakuja kuchukua nakuacha abiria kuendelea na safari. To achieve that kwanza lazima uwe na ndege zako mwenyewe. Same thing Rwanda na Tanzania tumefanya. Usichukue screenshot zakipindi Richard anaeleza jinsi Terminal yenu ilivyounguwa nakutaka kuspin mada. We are smart and watching.
hahahahaha alaf mbona hizo pesa hmjatumia kujenga airport au mnafurahia vibanda vya mabati?Kibanda lakini kinalipa kuliko Kisumu international airport hata Arusha airstrip inaizidi Kisumu
hahahaha 310 tourists?😀😀😀😀😀 ebu kuwa serious angalau...hapa tunazungumzia largescale aiports zinazo handle mamilioni ya watu we unaniambia ndege mbili zilizobeba watu 300sijui kama unaufahamu wa direct flight juzi qantas imeleta watalii direct flight to KIA 310 tourists😀😀😀 ndege 747 imelipia 3 days parking fee hehehe
Nimeishia kuchekaHawa ndugu zetu muda sio mrefu wataanza kutuletea tatizo la uhamiaji haramu. Kwani hali yao mbaya sana, yaani viongozi wanapiga pesa vibaya sana kwenye Miradi hewa.
Mta, ita😀😀😀Inabidi kwa sasa uanze kujifunza mahesabu yakutoa😀😀 Hizo terminal building za kisasa zinaenda kuifanya N'dliji, Bugesera na JNIA kuwa Hub. Hope you understand the meaning of a Hub. JKIA mtabaki na magofu. Kwa sasa Africa is rising lakini naona nyie mmelala. Mtakumbuka shuka kumekucha😀😀😀
Kumbe wewe mshamba. Airlines hupenda kwenda kwenye viwanja vyenye facilities za kisasa. They dont want to waste time once they are at the airport. Pia passengers hupenda viwanja vyenye kuvutia(terminals)hahahaha sasa terminal ndio inaleta passengers au ni airline ilio na direct flights? mbona hutumii akili?
dada vipi?Nimeishia kucheka
Uyo ni mtoto uwezi jadili na yeye hoja ni wakurumiwa😀😀😀😀😀hahahaha 310 tourists?😀😀😀😀😀 ebu kuwa serious angalau...hapa tunazungumzia largescale aiports zinazo handle mamilioni ya watu we unaniambia ndege mbili zilizobeba watu 300
Anamaliza lini muda wake wa uongozi?Joseph Kabila has launched the construction of new airport terminal in Kinshasa Congo.
Wa Congo wenzangu hoyeee !
nimegundua wewe ni mjinga sana...hakuna kitu kama kuvutia kwa airport...kinacho determine ni watu wangapi watatumia airport flani ni direct flights....kama huna direct flights haijalishi kama airport imejengwa na dhahabu au tanzanite, hakuna atakayeitumiaKumbe wewe mshamba. Airlines hupenda kwenda kwenye viwanja vyenye facilities za kisasa. They dont want to waste time once they are at the airport. Pia passengers hupenda viwanja vyenye kuvutia(terminals)