Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

ngombe kwa kelele huwawezi kumbe hawamo hata top 20😀😀😀
chart-Most-connected-airline-hubs-in-Africa1.png
Naona lugha yako ya hubs imeanza kubadilika.😀😀 Kuna mtu kuachwa na museum😀😀
 
Inabidi kwa sasa uanze kujifunza mahesabu yakutoa😀😀 Hizo terminal building za kisasa zinaenda kuifanya N'dliji, Bugesera na JNIA kuwa Hub. Hope you understand the meaning of a Hub. JKIA mtabaki na magofu. Kwa sasa Africa is rising lakini naona nyie mmelala. Mtakumbuka shuka kumekucha😀😀😀

A hub is not about buildings but a strategic location with ease of connectivity and choice of flights to wider destinations. JNIA is far from being a hub in any foreseeable future
 
Kibanda lakini kinalipa kuliko Kisumu international airport hata Arusha airstrip inaizidi Kisumu

Who is complaining? Kisumu,Eldoret,Isiolo etc serves Kenyans who are just as satisfied. Where do bongolalas come in as if they were shortchanged?
 
nimegundua wewe ni mjinga sana...hakuna kitu kama kuvutia kwa airport...kinacho determine ni watu wangapi watatumia airport flani ni direct flights....kama huna direct flights haijalishi kama airport imejengwa na dhahabu au tanzanite, hakuna atakayeitumia
Wewe ndo mjinga zaidi. Direct flights zingekuja vipi tukiwa na congestion kwenye airport. Pia hutaka kuwa na offices na space for lounges ili waweze hudumia wateja wao ambacho kwa sasa terminal 3 itakuwa na hizo facilities. Huo ndo ukweli. Kwa sasa forget about JKIA.
 
hahahaha 310 tourists?😀😀😀😀😀 ebu kuwa serious angalau...hapa tunazungumzia largescale aiports zinazo handle mamilioni ya watu we unaniambia ndege mbili zilizobeba watu 300
sina hakika kama unajua maana ya direct flight heheh yani Jay456watt hua unaniskitisha sana😀😀😀😀
 
nimegundua wewe ni mjinga sana...hakuna kitu kama kuvutia kwa airport...kinacho determine ni watu wangapi watatumia airport flani ni direct flights....kama huna direct flights haijalishi kama airport imejengwa na dhahabu au tanzanite, hakuna atakayeitumia
kwanza unajua maana ya direct flight mbona hapo kama unakwepa???😀😀😀😀
 
A hub is not about buildings but a strategic location with ease of connectivity and choice of flights to wider destinations. JNIA is far from being a hub in any foreseeable future
hvi hapo ndio mwisho wako wa akili ilipoishia kweli??? nimecheka sana😀😀😀😀😀
 
A hub is not about buildings but a strategic location with ease of connectivity and choice of flights to wider destinations. JNIA is far from being a hub in any foreseeable future
Dont be stupid its not about strategic location but about the modernity of the airport and terminal and the facilities it offers. Is Addis very far from Nairobi ?? Another zero brain in the making.
 
Hii design ni moto sana...sidhani ikijengwa kutakuwa na airport ka hii africa mzima...greenfield pia design yake ilikuwa worldclass....za wengine ni kama magreenhouse
Ume panic😀😀
 
Kumbe wewe mshamba. Airlines hupenda kwenda kwenye viwanja vyenye facilities za kisasa. They dont want to waste time once they are at the airport. Pia passengers hupenda viwanja vyenye kuvutia(terminals)

Mshamba ni wewe kweli! Bottomline is profitability and safety! Airports are not Disneyland attractions. Basics are to handle pax and flights in comfort and safety the rest is a plus!
 
we ni ngombe tu...sasa profit inahusiana kivipi na kuwa hub???? hivi unajua kuwa south african airline inapatwa na losses kila mwaka???
Mimi kama ni ngômbe wewe ni ndama.😀😀Lose imewafika pabaya. Greenfield iko wapi ?? 😀
 
sijui kama unaufahamu wa direct flight juzi qantas imeleta watalii direct flight to KIA 310 tourists😀😀😀 ndege 747 imelipia 3 days parking fee hehehe
Huyu ajui direct flights zipo zakutosha😀😀
 
Kenya Airport numbers 2017

JKIA - 8 Million passengers
MIA - 1.5 Million Passengers
Wilson Airport - 500K Passengers
Kisumu Airport - 450K Passengers
Eldoret Airport - 300K Passengers

Wabongo leteni zenu.
 
Back
Top Bottom