Wakati Greenfield ikiwa (RIP) kwa wenzetu. Congo wameanza pia ujenzi wa Terminal mpya

hahahahaha alaf mbona hizo pesa hmjatumia kujenga airport au mnafurahia vibanda vya mabati?
Mwanza terminal ipo under construction. Nikuulize juu ya hizo white elephant terminals in KenyaπŸ˜€πŸ˜€
 
Uyo ni mtoto uwezi jadili na yeye hoja ni wakurumiwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Emoji za mahumivu zinajulikanaπŸ˜€πŸ˜€ Naona umepatwa na baridi.
 
Dont be stupid its not about strategic location but about the modernity of the airport and terminal and the facilities it offers. Is Addis very far from Nairobi ?? Another zero brain in the making.

Both ADD and NBO are hubs in their own rights as necessitated by being bases for their own homegrown airlines with connectivity and links to all continents .Don't tell us that with ATCL's yet to come 4 bombardiers will transform JNIA to a hub!

If bongolala dimwits were to be exported like tanzanite, danganyika would be the richest of all countries!
 
Who is complaining? Kisumu,Eldoret,Isiolo etc serves Kenyans who are just as satisfied. Where do bongolalas come in as if they were shortchanged?
Punguza hasira. Wenzako pia akina Uhuru na Ruto wanapigwa baridi lakini hawa lalamiki. πŸ˜€πŸ˜€After 5Years mtakuwa mmepigwa baridi yakutoshaπŸ˜€πŸ˜€
 
Mshamba ni wewe kweli! Bottomline is profitability and safety! Airports are not Disneyland attractions. Basics are to handle pax and flights in comfort and safety the rest is a plus!
Umetokwa povu matundu yoteπŸ˜€πŸ˜€
 
Kenya Airport numbers 2017

JKIA - 8 Million passengers
MIA - 1.5 Million Passengers
Wilson Airport - 500K Passengers
Kisumu Airport - 450K Passengers
Eldoret Airport - 300K Passengers

Wabongo leteni zenu.
Mze wakukulupuka umekuja hukuπŸ˜€πŸ˜€ Tupatie sourceπŸ˜€πŸ˜€
 
Nakuona umejijibu kupitia quote yanguπŸ˜€πŸ˜€ Unapojadili mada na mtu smart kama mimi kuwa makini sana. Kwangu swali huwa ni jibuπŸ˜€ So know you understand that once you establish your own airline for long range routes your airport becomes a hubπŸ˜€πŸ˜€ Kazi nime maliza. Mwenzako Jay anatoa PovuπŸ˜€
 

That's not enough. You can have a fleet of them and never be a hub,refer to Saudia and JED. Console yourselves though,every dream is valid!
 
I think you need a brain transplant! just answer your own question then all this will go away.

***what makes any airport(forget about jkia kwa sasa) a hub???
 
hata a simple word hawaelewi...hub...mtz anajua kuwa hub ni majengo ya kisasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hawa watu walikosea Mungu nini??
 
I think you need a brain transplant! just answer your own question then all this will go away.

***what makes any airport(forget about jkia kwa sasa) a hub???
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€that guy needs a new brain for sure
 
Kwani demo kuwa na wazungu ni tatizo. Naona unapata maumivi. Pole sana Uhuruto mlimchagua wenyewe na Jubilee yao.
Lakini bado Tanzania kimaendeleo iko mbali sana na DRC ndio maana mnapotwangana mnakimbilia huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…