Kuna mambo ya ajabu sana. Ni ama tunadanganywa au hatumjui vizuri huyo anayeitwa Mungu.
Kuna wakati niliwahi kusema Shetani na Mungu ni marafjki sana. Kinachotokea sisi ndio tunataka kuwatofautisha na kuwagombanisha tu.
Fikiria mtu mwovu kama Hitler na waovu wengine hasa watawala wa Afrika wanavyoua na kutesa watu wao mamilioni kwa mamilioni mmoja hadi mwingine hatua kwa hatua Mungu anakuwa yuko wapi kuzuia kadhia hiyo kwa ajili ya viumbe wake?
Yaani muuaji na mtesaji anaendelea kuneemeka tu anakula raha kama kawaida at the expense of other's life.
Huku tunajazana ujinga makanisani na misikitini eti tuna mtetezi wetu hawezi kutuacha kamwe? Inaingia akilini kweli?
Tukihoji hivi tunaitwa makafiri au tunakufuru basi nyie msiokufuru tupeni majibu.