Wakati huko Rwanda Kagame anafanya hivi. Sisi tunafanya Vile

Wakati huko Rwanda Kagame anafanya hivi. Sisi tunafanya Vile

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Huku Tanzania tunawajengea nyumba mpya Viongozi waliotuibia zenye thamani ya Mamilion ya Pesa. Tunawanunulia na Magari wabadilishe kama Zawadi Kwa fedha za umma. Kagame yeye anawajengea nyumba za kisasa wananchi wake.
Screenshot_20210606-110252~2.png
 
You can't compare Rwanda na Tanzania

Size ya nchi hizi ni tofauti Sana

Usisahau Sisi hatuibi Madini ya DRC
Unashindwa kuelewa kuwa gharama iliyotumika kujenga nyumba moja tu ya kiongozi mstaafu (ambaye hana mahitaji ya nyumba) ingewza kujenga nyumba 100 za vyumba viwili ambazo zingetumiwa na watu masikini wenye mahitaji
 
Huo mtindo wa kuwapa watu samaki badala ya kuwapa nyavu pamoja na elimu ya uvuvi haujawahi kufanikiwa kutatua tatizo.
Huwa unatoa ufumbuzi wa muda mfupi.
 
You can't compare Rwanda na Tanzania

Size ya nchi hizi ni tofauti Sana

Usisahau Sisi hatuibi Madini ya DRC
Nyie hata ya kwenu si yanaibiwa? Kama mmechagua kuibiwa ni jambo jema pia. Wajinga ndiyo waliwao.
 
Pesa ya hizi nyumba zinatokana na Tanzanite iliyopigwa Mirerani wakati wa kayafa
Upigaji umekuwepo miaka mingi sana. Afadhali na wakati wa magufuli ulipungua. Though sisi wachaga tulibanwa kidogo.
 
Unashindwa kuelewa kuwa gharama iliyotumika kujenga nyumba moja tu ya kiongozi mstaafu (ambaye hana mahitaji ya nyumba) ingewza kujenga nyumba 100 za vyumba viwili ambazo zingetumiwa na watu masikini wenye mahitaji
Ndo maana wanasiasa wanatuibia sana washagundua mitanzania mingi ni mijinga sana.
 
Back
Top Bottom