Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
😂😂😂😂😂😂😜😜😜😜😜You can't compare Rwanda na Tanzania
Size ya nchi hizi ni tofauti Sana
Usisahau Sisi hatuibi Madini ya DRC
Kuna watu ni wahuni mno Tanzania 😂😂kama pesa za TASAF wanazivuta alafu wana maisha safi leo hii watangaze wajengewe nyumba utaniona wanaoitwa wanyonge wameongezeka😂😂You can't compare Rwanda na Tanzania
Size ya nchi hizi ni tofauti Sana
Usisahau Sisi hatuibi Madini ya DRC
KweliKuna watu ni wahuni mno Tanzania 😂😂kama pesa za TASAF wanazivuta alafu wana maisha safi leo hii watangaze wajengewe nyumba utaniona wanaoitwa wanyonge wameongezeka😂😂
Unashindwa kuelewa kuwa gharama iliyotumika kujenga nyumba moja tu ya kiongozi mstaafu (ambaye hana mahitaji ya nyumba) ingewza kujenga nyumba 100 za vyumba viwili ambazo zingetumiwa na watu masikini wenye mahitajiYou can't compare Rwanda na Tanzania
Size ya nchi hizi ni tofauti Sana
Usisahau Sisi hatuibi Madini ya DRC
Ngoja tuone ugawaji wa zile nyumba pale magomeni kotaKweli
Usanii umezidi
Pesa ya hizi nyumba zinatokana na Tanzanite iliyopigwa Mirerani wakati wa kayafaHuku Tanzania tunawajengea nyumba mpya Viongozi waliotuibia zenye thamani ya Mamilion ya Pesa. Tunawanunulia na Magari wabadilishe kama Zawadi Kwa fedha za umma. Kagame yeye anawajengea nyumba za kisasa wananchi wake.
View attachment 1810056
Nyie hata ya kwenu si yanaibiwa? Kama mmechagua kuibiwa ni jambo jema pia. Wajinga ndiyo waliwao.You can't compare Rwanda na Tanzania
Size ya nchi hizi ni tofauti Sana
Usisahau Sisi hatuibi Madini ya DRC
Upigaji umekuwepo miaka mingi sana. Afadhali na wakati wa magufuli ulipungua. Though sisi wachaga tulibanwa kidogo.Pesa ya hizi nyumba zinatokana na Tanzanite iliyopigwa Mirerani wakati wa kayafa
Ndo maana wanasiasa wanatuibia sana washagundua mitanzania mingi ni mijinga sana.Unashindwa kuelewa kuwa gharama iliyotumika kujenga nyumba moja tu ya kiongozi mstaafu (ambaye hana mahitaji ya nyumba) ingewza kujenga nyumba 100 za vyumba viwili ambazo zingetumiwa na watu masikini wenye mahitaji
Tutajuaje kama ulipungua wakati watu walizibwa midomo.Upigaji umekuwepo miaka mingi sana. Afadhali na wakati wa magufuli ulipungua. Though sisi wachaga tulibanwa kidogo.
Sisi Tunaiba madni yetu wenyeweYou can't compare Rwanda na Tanzania
Size ya nchi hizi ni tofauti Sana
Usisahau Sisi hatuibi Madini ya DRC
na wanongo hawashtukii hili. yaan wamesha tufanya midoli.Ndo maana wanasiasa wanatuibia sana washagundua mitanzania mingi ni mijinga sana.
mbona mnawaibia watanzania?You can't compare Rwanda na Tanzania
Size ya nchi hizi ni tofauti Sana
Usisahau Sisi hatuibi Madini ya DRC
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Upigaji umekuwepo miaka mingi sana. Afadhali na wakati wa magufuli ulipungua. Though sisi wachaga tulibanwa kidogo.