Huyu Tulia atatulizwa tu. Kwani unadhani yeye haogopi yaliyompata Ndugai?Ila kweli ngoja tusubiri mtoto wa mwendazake Tulia.
Mama samia anadeal nao mdogo mdogo. Mpaka waishe au waamue kubadilika.Huyu Tulia atatulizwa tu. Kwani unadhani yeye haogopi yaliyompata Ndugai?
Wakirudi mama atachafuka kisiasaWanarudi bungeni
Alitimiza wajibu kama Rais.Hivi katika Marais wa JMT waliongoza kwenye mfumo wa vyama vingi tukimuacha Mh Rais SSH ambaye ndio kamaliza mwaka yuko aliye jitahidi kutafuta maridhiano na kusikilizana na Wapinzani kama Mzee Kikwete. Aulizwe awambie jinsi hawa wapinzani walivyo mtenda 2015 baada ya EL kukatwa jina na CCM.
Akizingua tinanzingua,akimbie kiti🏃Huyu Tulia atatulizwa tu. Kwani unadhani yeye haogopi yaliyompata Ndugai?
Waombe msamaha kwa kosa lipi?Hawa wabunge wa corvid-19 wanapaswa kuomba msamaha mara moja na kuendelea na maisha mengine nje ya siasa!
Wakirudi mama atachafuka kisiasa
Mtetez wao hayupo tenaWanarudi bungeni
huwa nashangaa sana mtu anaandika ese kumjibu mtu kama huyuWaombe msamaha kwa kosa lipi?
Chadema itapeleka majina mengineSasa nafasi zao watachukua nani
Chadema itapeleka majina mengine
Mbona unwuliza maswali ya kitoto? Kama una akili ndogo kama uduvi nenda FacebookWamekubali uchaguzi?wa 2020?
Tatizo ni moja , hata yeye kuna watu waliopitwa na wakati ndio wanamuongoza .Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa.
Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na mahakama iliyojibebea umaarufu kwa kutenda haki ktk kesi ya aliyekuwa DC wa Hai Sabaya.
Kwahiyo wale washabiki na wapenzi wa Wabunge 19 poleni sana.