Wakati Jack Cliff Akiwa Jela , Mumewe Abambwa Akijiachia Kimapenzi Na Miss Tz

Wakati Jack Cliff Akiwa Jela , Mumewe Abambwa Akijiachia Kimapenzi Na Miss Tz

Mi sidhani kama uyu punda uko jela hii habari itamstua ebu msikie kauli yake aliyowahi kuitoa mwenyewe
“Nilikosea, nikakurupuka kuolewa mapema bila kumchunguza tabia mpenzi wangu, uhusiano wetu ulidumu miezi mitano tu kisha tukafunga ndoa, lakini matokeo yake tabia hazikuendana na ndoa ikakosa uhai ndani ya muda mfupi,” alisema Jack.

Punda afe mzigo wa bwana ufike.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pesa mbaya sana wazazi chunguzeni mabinti zenu wanatoka na nani...msije mkalia mseme hatukuwaambia.. majela ya Macau hakuna visitors
 
Pesa bana nitazipata tu na lazima nije nikule awa mamiss aisee
 
Nisaidie kushangaa. Naona tunatofautiana taste I mean vigezo teh teh

huyu ni mwanaume wakukutana bar kunywa na kula hen kila mtu kivyake na si future husband aiseee kuna watu hawajui wanaume
 
huyu ni mwanaume wakukutana bar kunywa na kula hen kila mtu kivyake na si future husband aiseee kuna watu hawajui wanaume
Kabisaa hamna future, alafu biashara zisizoeleweka mara mnakimbia police, mara punda kakamatwa sijui Oliva Tambo Airport.In short sioni future hubby kwa mtu wa hii sampuli.
 
Back
Top Bottom