Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mi sidhani kama uyu punda uko jela hii habari itamstua ebu msikie kauli yake aliyowahi kuitoa mwenyewe
Nilikosea, nikakurupuka kuolewa mapema bila kumchunguza tabia mpenzi wangu, uhusiano wetu ulidumu miezi mitano tu kisha tukafunga ndoa, lakini matokeo yake tabia hazikuendana na ndoa ikakosa uhai ndani ya muda mfupi, alisema Jack.
Siku hizi mkinunua nguo mpya za ndani mnajipiga picha mnazianika hadharani
Sa hv huyu ni mwanaume wa kuweka demu ndani aisee?
Nisaidie kushangaa. Naona tunatofautiana taste I mean vigezo teh teh
Kabisaa hamna future, alafu biashara zisizoeleweka mara mnakimbia police, mara punda kakamatwa sijui Oliva Tambo Airport.In short sioni future hubby kwa mtu wa hii sampuli.huyu ni mwanaume wakukutana bar kunywa na kula hen kila mtu kivyake na si future husband aiseee kuna watu hawajui wanaume