chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.
Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo ulizinduliwa wilaya ya Ilala. Wilaya ilikothiri kwa umangimeza.
Uamuzi wa Mzee Mwinyi ulikuwa ni kumfurusha na kwenda kumtupa singida. Malalamiko yalikithiri kutokana na uongozi usioridhisha.
#Historia