Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

Ila raisi wenu ndo kayataka haya yote. Kama asingeliiba kura ktk uchaguzi, mambo haya yasinge tokea
Wacha ujinga na uvumi bila msingi.Mahakama kuu ilisema Uhuru hana lolote la kulaumiwa nalo sasa wewe mjinga unatafuna uongo na kinyesi cha Raila?
 
Hongereni kwa kuliteka soko, sisi tunazidi kuboresha huduma na kwa sasa bandari yetu no 5th busiest in africa,

Bandarini operations in usikukucha yaani 24hrs system, na huduma imeboreka Sana baada ya upgrade ya operation systems to Simba 2.0
 
Pia reli ya standard gauge inaendelea kutandazwa hapo bandarini hadi berths zote zifikiwe, berth 1 hadi 22
.
 
Mobile electric cranes mpya zimeingia hapo bandarini mwezi uliopita, hongereni konecranes kwa kuzileta on time .
 
Operations HQ mpya pia imejngwa ili kushugulikia sgr port operations.
Tug boats mpya pia zimeingia last month, duma 1na duma 2 ili kuendelea kufanya guiding ya meli kubwa kubwa kwenye kilindini channel , kabla ya kutia nanga bandarini.
 
Hizo bidhaa za hapa Tanzania nyingi hutoka kwa kampuni za Kikenya zilizojazana humu nchini
 
Tanzania haijawahi kupoteza muda na pesa zake kwenye uchaguzi kama Kenya

Hata Kenya wakifanya uchaguzi kila baada ya mwezi mmoja hatuwezi kufikiwa kiuchumi na taifa la mazombi
 
Tanzania haijawahi kupoteza muda na pesa zake kwenye uchaguzi kama Kenya

Hata Kenya wakifanya uchaguzi kila baada ya mwezi mmoja hatuwezi kufikiwa kiuchumi na taifa la mazombi kwa lolote

Mtu hai hawezi shindana na maiti
 
Kweli ulivyosema ,lakini ukweli huo wote has one guiding factor ;Raila and his selfish obsession with gaining the #1 public office.Yeye hajali uchumi,bajeti kubwa sana ya uchaguzi na kusimama kwa mengine mengi bali tu yeye apate chake.
Kwanini usimlaumu Uhuru aliyeiba kura?
 
43 million Tz shs ni sawa na 2.4 millioni mtasubir sana na hamtawasogelea hata kidogo porojo zenu tushazoea
 
Tanzania haijawahi kupoteza muda na pesa zake kwenye uchaguzi kama Kenya
Sasa mbona uchumi wenu unaoza tu kila siku wakati uchaguzi hamgharamikii kama kenya...nn tatizo MNA laana[emoji2] [emoji2]
 
Kama kawaida yako huwa hutulii kuona kipi kinajadiliwa, hapa kinachojadiliwa sio utumiaji wa bandari ya Dar, kama ulisoma mleta huu uzi amesema Tanzania inaliteka soko la Burundi na DRC, hayo maonyesho yaliyofanyika Burundi ni kwa ajili ya kuzitambulisha bidhaa zinqzotengenezwa Tanzania, kama ambavyo Kenya inaenda kushiriki maonyesho ya biashara nchi mbalimbali, Kenya mnauza bidhaa zenu Rwanda, Burundi, Zambia, Sudan, na sasa hivi mnunuzi mkubwa wa bidhaa za Kenya ni Pakistan kuliko hata Uganda ambaye wlikua mnunuzi mkubwa wa bidhaa za Kenya, kwani biashara ni lazima muwe na ujirani, kwa utumiaji wa bandari hilo linaweza kuwa na maana, lakini sio katika kufanya biashara, leo china anauza bidhaa zake dunia nzima, kwani china imepakana na dunia nzima.

Ukweli ni kwamba, Kenya manufacturing sector imeathiriwa sana na vitu vifuatavyo
1)Bidhaa za china... ni cheap zaidi kuliko za Kenya hivyo kufanya wafanya biashara wengi kwenda kununua bidhaa china badala ya zile za Kenya
2)Viwanda vingi vya Kenya kufungwa kutokana na kushindwa kupambana na soko, vingi vinatumia tecknolojia ya kizamani sana
3)Gharama za uzalishaji Kenya kuwa juu ukilinganisha na Uganda na Tanzania
4)Uchumi wa Kenya kutetereka kutokana na sababu mbalimbali hivyo kufanya biashara nyingi kuhamia nchi zingine, hasa Tanzania
5)Manufacturing sector ya Tanzania na Uganda kukua kwa kasi, na kwasababu technologia inayotumika katika nchi hizi na kutoka china, bidhaa zinazozalishwa zinakua za bei nafuu sana
Mbona siku zote soko la DRC, Burundi na Rwanda ni la Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…