Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Sasa mbona hujibu hoja ya Geza ulole unapiga domo?, wewe ulionyesha kwamba pesa ya Kenya inathamani kubwa kwa hiyo uchumi una nguvu sambamba na nguvu ya fedha, hapa unasema pesa ya Tanzania ina nguvu kuliko ya Turkey, je uchumi wa Tanzania una nguvu kuliko wa Turkey?, tunaomba utupe elimu tujifunze, acha kurukia mambo ya siasa, hapa ni kuelimishana na kushindana kwa hoja tu.
Turkey na Japan ni nchi za viwanda, Tanzania bado sana.
cc Geza Ulole