Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

Sasa mbona hujibu hoja ya Geza ulole unapiga domo?, wewe ulionyesha kwamba pesa ya Kenya inathamani kubwa kwa hiyo uchumi una nguvu sambamba na nguvu ya fedha, hapa unasema pesa ya Tanzania ina nguvu kuliko ya Turkey, je uchumi wa Tanzania una nguvu kuliko wa Turkey?, tunaomba utupe elimu tujifunze, acha kurukia mambo ya siasa, hapa ni kuelimishana na kushindana kwa hoja tu.


Turkey na Japan ni nchi za viwanda, Tanzania bado sana.

cc Geza Ulole
 
Back
Top Bottom