Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

Ila raisi wenu ndo kayataka haya yote. Kama asingeliiba kura ktk uchaguzi, mambo haya yasinge tokea
Wacha ujinga na uvumi bila msingi.Mahakama kuu ilisema Uhuru hana lolote la kulaumiwa nalo sasa wewe mjinga unatafuna uongo na kinyesi cha Raila?
 
Hongereni kwa kuliteka soko, sisi tunazidi kuboresha huduma na kwa sasa bandari yetu no 5th busiest in africa,
C-4mLWIXcAAeBZL.jpg

Bandarini operations in usikukucha yaani 24hrs system, na huduma imeboreka Sana baada ya upgrade ya operation systems to Simba 2.0
DEd2ejxXcAAWz6Y.jpg
s4KeZIDh.jpg
 
Pia reli ya standard gauge inaendelea kutandazwa hapo bandarini hadi berths zote zifikiwe, berth 1 hadi 22
DEd2ejxXcAAWz6Y.jpg
.
DGI4WvRWsAAH5NC.jpg
DGI4WvRWsAAH5NC.jpg
DGI4TPKXsAAvM71.jpg
 
Mobile electric cranes mpya zimeingia hapo bandarini mwezi uliopita, hongereni konecranes kwa kuzileta on time .
DHVjrrNXgAUP0eu.jpg
Ut13PMih.jpg
7gcGEr5h.jpg
0QNp0Zjh.jpg
 
Operations HQ mpya pia imejngwa ili kushugulikia sgr port operations.
1GKx3BBh.jpg

Tug boats mpya pia zimeingia last month, duma 1na duma 2 ili kuendelea kufanya guiding ya meli kubwa kubwa kwenye kilindini channel , kabla ya kutia nanga bandarini.
zm4EEYch.jpg
Di4dWbRh.jpg
 
Hizo bidhaa za hapa Tanzania nyingi hutoka kwa kampuni za Kikenya zilizojazana humu nchini
 
Tanzania haijawahi kupoteza muda na pesa zake kwenye uchaguzi kama Kenya

Hata Kenya wakifanya uchaguzi kila baada ya mwezi mmoja hatuwezi kufikiwa kiuchumi na taifa la mazombi
 
Tanzania haijawahi kupoteza muda na pesa zake kwenye uchaguzi kama Kenya

Hata Kenya wakifanya uchaguzi kila baada ya mwezi mmoja hatuwezi kufikiwa kiuchumi na taifa la mazombi kwa lolote

Mtu hai hawezi shindana na maiti
 
Kweli ulivyosema ,lakini ukweli huo wote has one guiding factor ;Raila and his selfish obsession with gaining the #1 public office.Yeye hajali uchumi,bajeti kubwa sana ya uchaguzi na kusimama kwa mengine mengi bali tu yeye apate chake.
Kwanini usimlaumu Uhuru aliyeiba kura?
 
Akizungumza wakati huo huo, Mwenyekiti wa bodi ya Tantrade, Christopher Chiza, alisema kuwa ni chanya na chanzo cha kuhamasisha soko la bidhaa za Tanzania zaidi ya mipaka.

"Tunapofanikiwa kufikia soko la Burundi, inamaanisha tunapanua soko letu katika eneo hilo. Tunaona pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Mashariki ya Kongo kwa sababu tumeambiwa kuwa pia wamepata bidhaa za Tanzania kupitia Burundi, "alisema Mr Chiza.

Aliongeza; "Kwa muda mrefu kama ilivyoelezwa na Rais Nkurunziza, wajasiriamali kutoka Burundi wamelazimika kuagiza chakula na bidhaa nyingine kutoka Tanzania. Wao pia wamekuwa wakiuza bidhaa hizo za Tanzania upande wa Mashariki ya Kongo. Kwa hiyo tunalenga soko kubwa la watu zaidi ya milioni 20 ... sio kitu kidogo. "

Mkurugenzi Mtendaji wa Tantrade, Edwin Rutageruka alionyesha ahadi yake ya kuboresha mahusiano ya biashara kati ya Tanzania na Burundi hata baada ya maonesho kufungwa.

"Hii ni mwanzo tu, tayari wafanyabiashara ambao tulikuja pamoja katika maonyesho hayo wamebadilishana mawasiliano na wenzao wao wa Burundi na kupanga ili waweze kuwapa bidhaa kwa siku zijazo," alisema.

Maonesho yalipata heshima ya kutosha kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza na Makamu wa Rais wa Burundi View attachment 600371 View attachment 600372

==============================

Bujumbura. Burundian President Pierre Nkurunziza has described Tanzania’s trade exhibitions held for the first time in Bujumbura as a trade opportunity for the two countries that needs to be thoroughly implemented for the economic benefits of the two countries.

Tanzania Trade Development Authority (Tantrade) in partnership with Tanzanian Embassy in Burundi and Tanzania Ports Authority (TPA), jointly organised the trade exhibitions which concluded at the weekend to explore available business and investment opportunities in Burundi

President Nkurunziza admired the quality of Tanzanian products when he toured the displays and called for maximum utilisation of business and investment opportunities.

The exhibitions which started on September 27 closed in Bujumbura today, October 1.

He said the trade exhibition was an indication of strong bilateral ties between Tanzania and Burundi.

“Our bilateral ties are growing from strength to strength. I believe the objective of integration by East African Community (EAC) is through the exhibition of this nature being thoroughly implemented. I promise to support efforts to ensure economic growth of the two countries,” he said.

The move increases confidence among Tanzanian organisers of the event over the market availability.

Read more: Museveni leads EAC team in EPA talks with European Union

Read more: Tanzania-Kenya trade tiff yet to be resolved, says PS

Speaking at the same occasion, Tantrade board chairman Mr Christopher Chiza said it was a positive and encouraging move towards expanding the market of Tanzania’s goods beyond the borders.

“When we succeed to access the Burundi market, it means we are expanding our market in the region. We are also eying the Eastern Democratic Republic of Congo because we have been told that they have also been accessing Tanzanian goods through Burundi,” said Mr Chiza.

He added; “For a longtime as explained by President Nkurunziza, entrepreneurs from Burundi have been forced to import food and other goods from Tanzania. They have also been exporting the same goods to Eastern Congo. We are thus targeting a wide market of over 20million people… it is not a small thing.”

The acting director general of Tantrade, Mr Edwin Rutageruka expressed his commitment towards improving business relations between Tanzania and Burundi even after the exhibition has closed.

“This is just the beginning, already the businessmen whom we came together in these exhibitions have exchanged contacts with their Burundian counterparts and they will arrange so that they can be supplying them with goods in future,” he said.

The exhibitions are being held under Tantrade campaigns to ensure that the annual Dar es Salaam International Trade Exhibitions are crossing the borders.

Read more: Tanzania, DRC in discussions over Single Customs Territory
43 million Tz shs ni sawa na 2.4 millioni mtasubir sana na hamtawasogelea hata kidogo porojo zenu tushazoea
 
Tanzania haijawahi kupoteza muda na pesa zake kwenye uchaguzi kama Kenya
Sasa mbona uchumi wenu unaoza tu kila siku wakati uchaguzi hamgharamikii kama kenya...nn tatizo MNA laana[emoji2] [emoji2]
 
Itakua ujinga kwa Wakenya kuja kujisifia jinsi tunashinda Watanzania kwa biashara yetu na Sudan Kusini ambao tupo nao kwenye mpaka mmoja nao, ilhali nyie asilimia 90% hamuijui hiyo Sudani.
Kwa nyie kujisifia kwamba mnatushinda kwenye uhusiano wenu na Congo na Burundi ni utahira maana huko hatupo nao, huwa tunabahatisha tu.

Kwamba kuna Warundi na Wakongo wanaotumia bandari yetu na kuacha ya kwenu inadhihirisha nyie ni mivivu wa kutupwa, hamjui jinsi ya kuhakikisha soko lenu linabaki lenu.
Kama kawaida yako huwa hutulii kuona kipi kinajadiliwa, hapa kinachojadiliwa sio utumiaji wa bandari ya Dar, kama ulisoma mleta huu uzi amesema Tanzania inaliteka soko la Burundi na DRC, hayo maonyesho yaliyofanyika Burundi ni kwa ajili ya kuzitambulisha bidhaa zinqzotengenezwa Tanzania, kama ambavyo Kenya inaenda kushiriki maonyesho ya biashara nchi mbalimbali, Kenya mnauza bidhaa zenu Rwanda, Burundi, Zambia, Sudan, na sasa hivi mnunuzi mkubwa wa bidhaa za Kenya ni Pakistan kuliko hata Uganda ambaye wlikua mnunuzi mkubwa wa bidhaa za Kenya, kwani biashara ni lazima muwe na ujirani, kwa utumiaji wa bandari hilo linaweza kuwa na maana, lakini sio katika kufanya biashara, leo china anauza bidhaa zake dunia nzima, kwani china imepakana na dunia nzima.

Ukweli ni kwamba, Kenya manufacturing sector imeathiriwa sana na vitu vifuatavyo
1)Bidhaa za china... ni cheap zaidi kuliko za Kenya hivyo kufanya wafanya biashara wengi kwenda kununua bidhaa china badala ya zile za Kenya
2)Viwanda vingi vya Kenya kufungwa kutokana na kushindwa kupambana na soko, vingi vinatumia tecknolojia ya kizamani sana
3)Gharama za uzalishaji Kenya kuwa juu ukilinganisha na Uganda na Tanzania
4)Uchumi wa Kenya kutetereka kutokana na sababu mbalimbali hivyo kufanya biashara nyingi kuhamia nchi zingine, hasa Tanzania
5)Manufacturing sector ya Tanzania na Uganda kukua kwa kasi, na kwasababu technologia inayotumika katika nchi hizi na kutoka china, bidhaa zinazozalishwa zinakua za bei nafuu sana
Mbona siku zote soko la DRC, Burundi na Rwanda ni la Tanzania?
 
Back
Top Bottom