Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

Itakua ujinga kwa Wakenya kuja kujisifia jinsi tunashinda Watanzania kwa biashara yetu na Sudan Kusini ambao tupo nao kwenye mpaka mmoja nao, ilhali nyie asilimia 90% hamuijui hiyo Sudani.
Kwa nyie kujisifia kwamba mnatushinda kwenye uhusiano wenu na Congo na Burundi ni utahira maana huko hatupo nao, huwa tunabahatisha tu.

Kwamba kuna Warundi na Wakongo wanaotumia bandari yetu na kuacha ya kwenu inadhihirisha nyie ni mivivu wa kutupwa, hamjui jinsi ya kuhakikisha soko lenu linabaki lenu.
Uganda is the largest exporter to South Sudan reason being Kenya's poor infrastructure up North. End of story
 
43 million Tz shs ni sawa na 2.4 millioni mtasubir sana na hamtawasogelea hata kidogo porojo zenu tushazoea
Hivi wewe hata unajua significance ya currency exchange rate? Kenya currency ipo juu zaidi ya Japanese Yen, je ina maana Kenya wako advanced zaidi ya Japan? Soma economics ujue kwann Yen ipo chini zaidi ya Kshs na Japan ni first World country wakati Kenya ni third World na significance zake.
 
[emoji23] [emoji23] siasa hizo hata nguvu ya sarafu yako vile vile ina gain uwezo wako wa kiuchumi ulionao sio kila unachofundishwa darasani ukizoe na kukiweka kichwani kwako kama kilivyo nawe unatakiwa kujiongeza..hata peso ya uturuki iko chini zaidi ya shilingi ya Tanzania lkn vitu vingine vya uchumi siasa iliingizwa kwa malengo maalum...kukugeuza hamnazo[emoji2] [emoji2]
 
Akizungumza wakati huo huo, Mwenyekiti wa bodi ya Tantrade, Christopher Chiza, alisema kuwa ni chanya na chanzo cha kuhamasisha soko la bidhaa za Tanzania zaidi ya mipaka.

"Tunapofanikiwa kufikia soko la Burundi, inamaanisha tunapanua soko letu katika eneo hilo. Tunaona pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Mashariki ya Kongo kwa sababu tumeambiwa kuwa pia wamepata bidhaa za Tanzania kupitia Burundi, "alisema Mr Chiza.

Aliongeza; "Kwa muda mrefu kama ilivyoelezwa na Rais Nkurunziza, wajasiriamali kutoka Burundi wamelazimika kuagiza chakula na bidhaa nyingine kutoka Tanzania. Wao pia wamekuwa wakiuza bidhaa hizo za Tanzania upande wa Mashariki ya Kongo. Kwa hiyo tunalenga soko kubwa la watu zaidi ya milioni 20 ... sio kitu kidogo. "

Mkurugenzi Mtendaji wa Tantrade, Edwin Rutageruka alionyesha ahadi yake ya kuboresha mahusiano ya biashara kati ya Tanzania na Burundi hata baada ya maonesho kufungwa.

"Hii ni mwanzo tu, tayari wafanyabiashara ambao tulikuja pamoja katika maonyesho hayo wamebadilishana mawasiliano na wenzao wao wa Burundi na kupanga ili waweze kuwapa bidhaa kwa siku zijazo," alisema.

Maonesho yalipata heshima ya kutosha kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza na Makamu wa Rais wa Burundi View attachment 600371 View attachment 600372

==============================

Bujumbura. Burundian President Pierre Nkurunziza has described Tanzania’s trade exhibitions held for the first time in Bujumbura as a trade opportunity for the two countries that needs to be thoroughly implemented for the economic benefits of the two countries.

Tanzania Trade Development Authority (Tantrade) in partnership with Tanzanian Embassy in Burundi and Tanzania Ports Authority (TPA), jointly organised the trade exhibitions which concluded at the weekend to explore available business and investment opportunities in Burundi

President Nkurunziza admired the quality of Tanzanian products when he toured the displays and called for maximum utilisation of business and investment opportunities.

The exhibitions which started on September 27 closed in Bujumbura today, October 1.

He said the trade exhibition was an indication of strong bilateral ties between Tanzania and Burundi.

“Our bilateral ties are growing from strength to strength. I believe the objective of integration by East African Community (EAC) is through the exhibition of this nature being thoroughly implemented. I promise to support efforts to ensure economic growth of the two countries,” he said.

The move increases confidence among Tanzanian organisers of the event over the market availability.

Read more: Museveni leads EAC team in EPA talks with European Union

Read more: Tanzania-Kenya trade tiff yet to be resolved, says PS

Speaking at the same occasion, Tantrade board chairman Mr Christopher Chiza said it was a positive and encouraging move towards expanding the market of Tanzania’s goods beyond the borders.

“When we succeed to access the Burundi market, it means we are expanding our market in the region. We are also eying the Eastern Democratic Republic of Congo because we have been told that they have also been accessing Tanzanian goods through Burundi,” said Mr Chiza.

He added; “For a longtime as explained by President Nkurunziza, entrepreneurs from Burundi have been forced to import food and other goods from Tanzania. They have also been exporting the same goods to Eastern Congo. We are thus targeting a wide market of over 20million people… it is not a small thing.”

The acting director general of Tantrade, Mr Edwin Rutageruka expressed his commitment towards improving business relations between Tanzania and Burundi even after the exhibition has closed.

“This is just the beginning, already the businessmen whom we came together in these exhibitions have exchanged contacts with their Burundian counterparts and they will arrange so that they can be supplying them with goods in future,” he said.

The exhibitions are being held under Tantrade campaigns to ensure that the annual Dar es Salaam International Trade Exhibitions are crossing the borders.

Read more: Tanzania, DRC in discussions over Single Customs Territory
Umesoma "the Guardian la jana mkuu"
Ujue soko halina hati miliki, linaweza kubadilika wakati wowote bila kutoa taarifa.
 
Umeona enhee. ..kuwa na akili basi siku nyingine usilete ubishi wa kipumbavu!
 
Naomba utumie akili kudadavua hii ramani, na kama hutapata jibu, basi sioni jinsi ya kukusaidia

_86798768_africa_ports_624.png
Tulipoona KQ inapasua anga tukapatwa na wivu wa kibiashara, salaaale! si tumeyavagaa kichwa kichwa mapangaboi ya bombardier!
Hatujui maana ya mikataba, hatuheshimu mahakama! Yaani tupo tupo tu!

Kabombadia kamoja kamedakuliwa hukohuko kiwandani mpaka tumlipe mdeni wetu!

Kenya ndugu zetu jueni kuwa Raila Odinga ni rafiki ya huyu kubwa letu la maadui, mkimpa nchi mtaikosea kanda nzima ya hili eneo.

Sisi kama ilivyo Rwanda, Uganda, Burundi na Congo kinshasa hatujui siasa.

Msishangae hii reli tunayojenga kwa mbwembwe tukajatumia mikokoteni ya punda kusafirishia vifurushi vya ng'onda.

Sisi na rushwa rushwa na sisi.
(ukisoma haraka haraka unaweza kudhani nimetoka nje ya mada)
 
Kama kawaida yako huwa hutulii kuona kipi kinajadiliwa, hapa kinachojadiliwa sio utumiaji wa bandari ya Dar, kama ulisoma mleta huu uzi amesema Tanzania inaliteka soko la Burundi na DRC, hayo maonyesho yaliyofanyika Burundi ni kwa ajili ya kuzitambulisha bidhaa zinqzotengenezwa Tanzania, kama ambavyo Kenya inaenda kushiriki maonyesho ya biashara nchi mbalimbali, Kenya mnauza bidhaa zenu Rwanda, Burundi, Zambia, Sudan, na sasa hivi mnunuzi mkubwa wa bidhaa za Kenya ni Pakistan kuliko hata Uganda ambaye wlikua mnunuzi mkubwa wa bidhaa za Kenya, kwani biashara ni lazima muwe na ujirani, kwa utumiaji wa bandari hilo linaweza kuwa na maana, lakini sio katika kufanya biashara, leo china anauza bidhaa zake dunia nzima, kwani china imepakana na dunia nzima.

Ukweli ni kwamba, Kenya manufacturing sector imeathiriwa sana na vitu vifuatavyo
1)Bidhaa za china... ni cheap zaidi kuliko za Kenya hivyo kufanya wafanya biashara wengi kwenda kununua bidhaa china badala ya zile za Kenya
2)Viwanda vingi vya Kenya kufungwa kutokana na kushindwa kupambana na soko, vingi vinatumia tecknolojia ya kizamani sana
3)Gharama za uzalishaji Kenya kuwa juu ukilinganisha na Uganda na Tanzania
4)Uchumi wa Kenya kutetereka kutokana na sababu mbalimbali hivyo kufanya biashara nyingi kuhamia nchi zingine, hasa Tanzania
5)Manufacturing sector ya Tanzania na Uganda kukua kwa kasi, na kwasababu technologia inayotumika katika nchi hizi na kutoka china, bidhaa zinazozalishwa zinakua za bei nafuu sana
Taja bidhaa angalau tano tunazozalisha tizii
 
[emoji23] [emoji23] siasa hizo hata nguvu ya sarafu yako vile vile ina gain uwezo wako wa kiuchumi ulionao sio kila unachofundishwa darasani ukizoe na kukiweka kichwani kwako kama kilivyo nawe unatakiwa kujiongeza..hata peso ya uturuki iko chini zaidi ya shilingi ya Tanzania lkn vitu vingine vya uchumi siasa iliingizwa kwa malengo maalum...kukugeuza hamnazo[emoji2] [emoji2]
Sasa mbona hujibu hoja ya Geza ulole unapiga domo?, wewe ulionyesha kwamba pesa ya Kenya inathamani kubwa kwa hiyo uchumi una nguvu sambamba na nguvu ya fedha, hapa unasema pesa ya Tanzania ina nguvu kuliko ya Turkey, je uchumi wa Tanzania una nguvu kuliko wa Turkey?, tunaomba utupe elimu tujifunze, acha kurukia mambo ya siasa, hapa ni kuelimishana na kushindana kwa hoja tu.
 
Taja bidhaa angalau tano tunazozalisha tizii
Mwisho utaniambia nije nikuvishe nepi, kama hujui vitu vinavyozalishwa Tanzania pole sana, sio jukumu langu kuangaika na watu kama wewe, Bakhressa na Mohamedi Enterprises, Aliko Dangote, Asas, Viwanda vyote gya cement, vifaa vya Ujenzi, kiwanda kikubwa cha Vigae east and central Africa.. just few to list...

Kwa taarifa yako , Jeans zinazalisha EPZ zimeshaanza kuuzika huko USA, soma gazeti la leo. Bakhresa na Mohamedi enterprises peke yao wanatengeneza zaidi ya products mia moja, wewe unauliza bidhaa tano?, endelea kuchapa usingizi wacha wenye akili watengeneze pesa.
 
Nilikuuliza kama mtego ili tujue uwezo wako/wenu wa kujibu maswali.
Majibu mazuri mnayo lakini mna kigugumizi gani kuwasweka lupango watoa rushwa kina Mnyeti na Gambo? Ushahidi dhahiri.
 
Siyo tu kuteka soko bali na kuteka wasanii wanaoimba nyumba zenye itikadi tofauti na wanasiasa wa upinzani ikiwa ni pamoja na assassination attempt vilevile kufungua wheel nuts za tyres za opposition party leaders. Kweli tunajua kutumia nafasi
 
Huwezi kuongea bila kuihusisha Kenya? Mambo ushindani wa mitaa ya kiswahili
 
Nitafurahi sana ukiniambia mapato ya Mwezi July na August mkuu maana kuna habari zisizo kua rasmi kwamba yameshuka chini ya B800 na mbaya zaidi sioni TRA wakitangaza kwa hii miezi miwili mfululizo
Wewe kama mtanzania umefanya kipi kuisaidia nchi yako isiyumbe kimapato au umejifungia chumbani tu kusubiria taarifa tu
 
Huwezi kuilinganisha kenya na tanzania kwenye biashara, hawa jamaa wako mbali mno na ni wawekezaji wakubwa mataifa yote karibu east africa.
 
Nilikuuliza kama mtego ili tujue uwezo wako/wenu wa kujibu maswali.
Majibu mazuri mnayo lakini mna kigugumizi gani kuwasweka lupango watoa rushwa kina Mnyeti na Gambo? Ushahidi dhahiri.
Unaona ulivyo na matatizo, sisi tunazungumza habari ya biashara, kwamba bidhaa zetu zipate soko, hatujamaliza hili tukaliweka sawa, unarukia habari za kina Nassari, mtu wa namna yako ni wale watu ambao akianzisha biashara, ndani ya miezi miwili akiona kuna biashara mpya, anafunga na kurukia biashara ingine, hutofanikiwa.

Kwani hilo la Nassari kuna shida gani, wakati mwenyewr Nassari alisema ushahidi umepokelewa TAKUKURU na ameambiwa arudi leo ili akafungue jalada rasmi, ila tayari zile video clips zimeanza kufanyiwa kazi, wewe ulitaka iweje?
 
Ulikuwa ni mtego mkuu!
Umeingia kichwakichwa.
Usinipigie simu kuniuliza kama nimekurekodi.
 
Sasa mbona hujibu hoja ya Geza ulole unapiga domo?, wewe ulionyesha kwamba pesa ya Kenya inathamani kubwa kwa hiyo uchumi una nguvu sambamba na nguvu ya fedha, hapa unasema pesa ya Tanzania ina nguvu kuliko ya Turkey, je uchumi wa Tanzania una nguvu kuliko wa Turkey?, tunaomba utupe elimu tujifunze, acha kurukia mambo ya siasa, hapa ni kuelimishana na kushindana kwa hoja tu.

Usilinganishe Uturuki, Japani ambao wamejitosheleza kiviwanda na nyie ambao hata sindano na pipi mnaagiza kutoka nje. Wale hata sarafu zao zisipokua imara hawana cha kupoteza maana hawategemei sana kununua bidhaa nje, viwanda vyao vimejitosheleza.
Nyie hapo sarafu yenu kajamba ipo useless balaa, halafu bado inabidi kuagiza karibu kila kitu na ambacho mnanunua kwa dola ya Kimarekani.

Kuna jamaa yangu hapo Tanzania amepoteza sana kwa ajili ya hilo. Alifanya quotation kwa kutumia shilingi ya Tanzania kama ilivyokua imeagizwa kwenye RFP, kwa ajili ya mradi ambao ulitegemea kununua vitu nje kwa dollar. Sasa mkamchelewesha kumpa mkataba kwa ajili Uswahili wenu mwingi, maana mara tender board wakae vikao, mara hiki mara kile, huku muda unasonga na shilingi yenu inazidi kupoteza thamani, wakati mnakuja kumpa mkataba tayari shilingi kwa dola ilikua imepokea mapigo ya kufa mtu, jamaa kuagiza vifaa aliingia hasara ya mamilioni ya Kitanzania.

Mumekaa hapa kizembe kutetea hizo pesa madafu zenu hamjui watu wanavyoingia hasara wakati wanafanya biashara zinazohusu miamala ya nje ya nchi. Serikali yenu inalazimisha financial proposals zifanywe kwa shilingi yenu ilhali mkandarasi ananunua vitu kwa dollar, halafu mnakawia kumpa kandarasi....anaishia majanga.
 
Back
Top Bottom