Wakati Kenya wana Gen Z, Tanzania tuna Gen Ziro

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709

Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.​

Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.​

Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.​

Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama mkusanyiko wa mataifa aka makabila tofauti na sisi wenye taifa lakini wasiojua tunachotaka.​

Nne, Wakenya wanajua maana ya haki wakati sisi, kama jamii, hatuwezi kutofautisha kati ya haki stahiki na fadhila.​

Tano, Wakenya hawajikombi wala kujipendekeza kama wengi wa ndugu zetu nchini.​

Sita, Wakenya, kama jamii na watu si wanafiki. Ukiwazingua, hakuna cha kuzinguana bali wanakuzingua.​

Saba, Ukiangalia Gen Z wao, unagundua kuwa sisi tuna Gen Zero mabingwa wa kubeti na kufuatilia mambo ya mipira na ngono.​

Huwa sielewi inaposemwa uchumi wa Kenya umeshikiliwa na wazungu, ni akina nani hao.
Ukiangalia matajiri kumi bora humo Kuna Wakenya weusi wengi tu na Wahindi wachache, lakini ukiangalia kwa Bongo, utakuta Mtanganyika mweusi ni mmoja tu marehemu Reginald Mengi, wengine wote ni Wahindi na Waarabu.
 
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.​

Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.​

Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.​

Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama mkusanyiko wa mataifa aka makabila tofauti na sisi wenye taifa lakini wasiojua tunachotaka.​

Nne, Wakenya wanajua maana ya haki wakati sisi, kama jamii, hatuwezi kutofautisha kati ya haki stahiki na fadhila.​

Tano, Wakenya hawajikombi wala kujipendekeza kama wengi wa ndugu zetu nchini.​

Sita, Wakenya, kama jamii na watu si wanafiki. Ukiwazingua, hakuna cha kuzinguana bali wanakuzingua.​

Saba, Ukiangalia Gen Z wao, unagundua kuwa sisi tuna Gen Zero mabingwa wa kubeti na kufuatilia mambo ya mipira na ngono.​

Taifa la connection hili mkuu. Na hapa bongo pia mkuu uchumi wa wa hindi huu angalia matajiri wetu mbongo asilia ni mzee Mengi ilikua ila wengine woote kina bakhresa Mo Dewj. Gsm rostam azizi nk ni wahindi sasa unataka usemeje tuna milili uchumi wetu
 
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.​

Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.​

Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.​

Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama mkusanyiko wa mataifa aka makabila tofauti na sisi wenye taifa lakini wasiojua tunachotaka.​

Nne, Wakenya wanajua maana ya haki wakati sisi, kama jamii, hatuwezi kutofautisha kati ya haki stahiki na fadhila.​

Tano, Wakenya hawajikombi wala kujipendekeza kama wengi wa ndugu zetu nchini.​

Sita, Wakenya, kama jamii na watu si wanafiki. Ukiwazingua, hakuna cha kuzinguana bali wanakuzingua.​

Saba, Ukiangalia Gen Z wao, unagundua kuwa sisi tuna Gen Zero mabingwa wa kubeti na kufuatilia mambo ya mipira na ngono.​

We ni pumbavu lisilo na haya, watanzania siyo mazezeta km hao waliokata tamaa unawaita wakenya. Zuzu ni zuzu tu, huoni ht aibu? Hakuna vijana wapumbavu km wa Kenya, kwanza ht hawajui wanataka nini, wanakufa km kuku wenye kideri, jana wamekufa 8 na majeruhi 400 bila kueleweka wanataka nini. Kenya inahitaji Rais km Daniel Arap Moi, Kagame, Museveni, ile siyo Siasa ni ushamba, ni upumbavu uliopitiliza. We kwl ni useless sperm. Nchi yetu ni ya watu wastaarabu wenye akili hakuna nchi hp duniani itakuwa km Kenya we nyumbu rudi km kule ni kwenu. Mbwa koko lisilo na aibu
 
Matope yaliyooza
 
Ukweli ni kwamba tanzania either elimu ni duni au sijui nini ila kama mbunge anauliza kama niliwaahidi fulana eti nimeleta sijaleta hapo kuna kitu kweli jamani aah ,
Na mbunge mwingine anaomba barabara huku bunge linafungwa
Sisi wengi ni madhara ya elimu duni na ushamba, watanzania wengi waoga wa kusafiri ,ukienda nje wanigeria na wakenya huwakosi wabongo porojo na mdomo mwingi ndio tunachokiweza
 
Watanzania ni wastaarabu, wenye huruma na wapenda amani.

Mambo ambayo yanayotokea Kenya leo yangekuwa Tanzania; wanaharakati wao na baadhi ya wanasiasa wao wangekuwa wapo mbele kubariki.

Lakini Tanzania inaisikitia Kenya kuchekea wanaharakati wanao haribu uchumi chao.

Hata kama kuharibika kwa tourism ya Kenya, kunaweza kuwa na faida kwetu Tanzania atupendezewi na shida ya Kenya.

Stability ya Kenya ni muhimu, kuliko faida za Tanzania kutokana mifarakano yao.

But then. wakenya sio watu wakujifunza bado hawajui madhara ya news representation na madhara yake.

The unrestricted autonomy in Kenya media reporting is beyond me, there are no controls on impartial (balancing story).

Nilifuatilia media zao kwenye Sakata la yule taahira wao ‘Martha Karua’ my god. The freedom their media enjoy in misrepresentation and bias is beyond me.

Usalama wa Kenya uelewa wao wa kuendesha nchi ni mdogo; Ndio maana nchi yao sio stable country.

Uhuru wa media za Kenya ni shida
 
Tz vijana wenyewe ni akina mwijaku na mwashambwa kutwa kusifia viongozi mara sijui wanajua kujambaa vzr, sijui wana matrako makubwa...yaani upuuzi mtupu!!.
 
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.​

Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.​

Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.​

Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama mkusanyiko wa mataifa aka makabila tofauti na sisi wenye taifa lakini wasiojua tunachotaka.​

Nne, Wakenya wanajua maana ya haki wakati sisi, kama jamii, hatuwezi kutofautisha kati ya haki stahiki na fadhila.​

Tano, Wakenya hawajikombi wala kujipendekeza kama wengi wa ndugu zetu nchini.​

Sita, Wakenya, kama jamii na watu si wanafiki. Ukiwazingua, hakuna cha kuzinguana bali wanakuzingua.​

Saba, Ukiangalia Gen Z wao, unagundua kuwa sisi tuna Gen Zero mabingwa wa kubeti na kufuatilia mambo ya mipira na ngono.​

Mpaka leo hao Gen Z wa Kenya wamefanikisha nini cha maana? Na kila siku wanauwawa. Acha unyumbu.
 
We ni pumbavu lisilo na haya, watanzania siyo mazezeta km hao waliokata tamaa unawaita wakenya. Zuzu ni zuzu tu, huoni ht aibu? Hakuna vijana wapumbavu km wa Kenya, kwanza ht hawajui wanataka nini, wanakufa km kuku wenye kideri, jana wamekufa 8 na majeruhi 400 bila kueleweka wanataka nini. Kenya inahitaji Rais km Daniel Arap Moi, Kagame, Museveni, ile siyo Siasa ni ushamba, ni upumbavu uliopitiliza. We kwl ni useless sperm. Nchi yetu ni ya watu wastaarabu wenye akili hakuna nchi hp duniani itakuwa km Kenya we nyumbu rudi km kule ni kwenu. Mbwa koko lisilo na aibu
Acha kusifia ujinga Tanzania kulinga isha na Kenya ni kichekesho. Kenya wako mbali sana kwa kila kitu ikiwemo na kujitambua. Huwezi hata kushangaa Tz mtu anajiita chawa au mtu anasimama hadharani anasema 'chawa wangu' au 'uchumi wa tanzania unafanya vizur kuliko America na Ulaya' au 'Tanzania kwa miaka 4 tumejenga viwanda 28'.
 
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.​

Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.​

Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.​

Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama mkusanyiko wa mataifa aka makabila tofauti na sisi wenye taifa lakini wasiojua tunachotaka.​

Nne, Wakenya wanajua maana ya haki wakati sisi, kama jamii, hatuwezi kutofautisha kati ya haki stahiki na fadhila.​

Tano, Wakenya hawajikombi wala kujipendekeza kama wengi wa ndugu zetu nchini.​

Sita, Wakenya, kama jamii na watu si wanafiki. Ukiwazingua, hakuna cha kuzinguana bali wanakuzingua.​

Saba, Ukiangalia Gen Z wao, unagundua kuwa sisi tuna Gen Zero mabingwa wa kubeti na kufuatilia mambo ya mipira na ngono.​

maandamano ya kuchoma maduka, malls, kuharibu mali na miundombini si ulofa amabao Tanzania tulishatoka huko gentleman? Yaana waandamanaji wanaharibu vitu vya watu kana kwamba hivyo ndivyo tatizo kwao na kuona hiyo ndio haki ya kuandamana, surely?

hapo bado mwezi wa nane wataandamana tena wakiwa na masufuri vichwani kuomba unga wakati hawataki kulima kutokana na uvivu wao. huo si ulofa gentleman?

eti kabisa wanatii muda wa ukomo wa maandamano kwa mujibu wa sheria baada ya kusababisha uharibifu na hasara kubwa kwa uchumi wa taifa lao. kweli wanawaza vizuri kweli hawa genz wa kenya?

nadhani wamesahau hata wanatetea nini au wanadai nini na adui yao ni nani :pedroP:
 
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.​

Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.​

Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.​

Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama mkusanyiko wa mataifa aka makabila tofauti na sisi wenye taifa lakini wasiojua tunachotaka.​

Nne, Wakenya wanajua maana ya haki wakati sisi, kama jamii, hatuwezi kutofautisha kati ya haki stahiki na fadhila.​

Tano, Wakenya hawajikombi wala kujipendekeza kama wengi wa ndugu zetu nchini.​

Sita, Wakenya, kama jamii na watu si wanafiki. Ukiwazingua, hakuna cha kuzinguana bali wanakuzingua.​

Saba, Ukiangalia Gen Z wao, unagundua kuwa sisi tuna Gen Zero mabingwa wa kubeti na kufuatilia mambo ya mipira na ngono.​

Umesema ukweli sana! Walipozuia media kuonesha maandamano wanasheria wakaenda mahakamani ndani ya masaa imeshatoa hukumu media ziruhusiwe. Hizi kangaroo koti za tz ingepigwa kalenda. Huku Kuna wabobezi wa uchawa mpk aibu yaani!
 
We ni pumbavu lisilo na haya, watanzania siyo mazezeta km hao waliokata tamaa unawaita wakenya. Zuzu ni zuzu tu, huoni ht aibu? Hakuna vijana wapumbavu km wa Kenya, kwanza ht hawajui wanataka nini, wanakufa km kuku wenye kideri, jana wamekufa 8 na majeruhi 400 bila kueleweka wanataka nini. Kenya inahitaji Rais km Daniel Arap Moi, Kagame, Museveni, ile siyo Siasa ni ushamba, ni upumbavu uliopitiliza. We kwl ni useless sperm. Nchi yetu ni ya watu wastaarabu wenye akili hakuna nchi hp duniani itakuwa km Kenya we nyumbu rudi km kule ni kwenu. Mbwa koko lisilo na aibu
Weww na wakenya nan pumbavu.
Wanajua demokrasia wana taka taifa lao lisiendshwe kama ndoa ya mtu. Wewe ni ****
 
Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu.​

Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi.​

Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine.​

Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama mkusanyiko wa mataifa aka makabila tofauti na sisi wenye taifa lakini wasiojua tunachotaka.​

Nne, Wakenya wanajua maana ya haki wakati sisi, kama jamii, hatuwezi kutofautisha kati ya haki stahiki na fadhila.​

Tano, Wakenya hawajikombi wala kujipendekeza kama wengi wa ndugu zetu nchini.​

Sita, Wakenya, kama jamii na watu si wanafiki. Ukiwazingua, hakuna cha kuzinguana bali wanakuzingua.​

Saba, Ukiangalia Gen Z wao, unagundua kuwa sisi tuna Gen Zero mabingwa wa kubeti na kufuatilia mambo ya mipira na ngono.​

KENYA katiba yao imewapa Nguvu sana wananchi kuliko hata hao viongozi, hadi inafika sehem wanamwona kiongozi kama hana kitu cha ziada wala nguvu yeyote juuu yao!

Hii ndo imepelekea uhuru kupitiliza na Kufanya maaamuzi magumu yanayoathiri uchumi wao, mfano. Kuharibu miundombinu ya Nchi.
UKIPATA MUDA SOMA MITHALI 14:1

RAIS wa Kenya anaonekana kama sio SUPERIOR kwa sababu ya Nature ya Katiba yao.

Njoo Bongo, Huku katiba inaMpa Raisi Full power as SUPERIOR, na hakuna wakusema kitu zaidi yake, atakaloamua kwa mujibu wa Nguvu alizopewa na katiba linatimizwa.

My country in politics are dead Country, alisema Kenyata, Tanzania Tukamfyonza sana😂 na hii yote ni kwa Vile Bongo tunapenda Maisha ya Uchawa😂

TANZANIA UKIAMKA SALAMAA, FURAHI
UKILA VIZURI, FURAHI

NCHI YA AMAN.
 
Back
Top Bottom