The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ccm inajaribu kuiambukiza nchi siasa za kisanii sana, yaani eti unamwambia mtu asifanye siasa hadi mwaka wa uchaguzi!? Sijawahi kamwe kuelewa mantiki ya jambo hilo.
Nijuavyo mimi siasa ni maisha. watu wanaishi kwa hiyo. Mfano rahisi ni mataifa yaliyoendelea ambapo unakuja mara tu unapoisha uchaguzi, tayari watu wanajipanga kwa uchaguzi mwingine.
Huu mfumo wanaoutaka ccm ni mfumo wa kuwabeba wagombea ambao chama kinawataka na sii wale wanaotakiwa na wananchi.
Kama hufanyi chochote kwa watu unaokusudia wakuchague utajulikanaje!?
Ila najua wanafanya hivyo sababu wanajua kwamba wanaowafukuzia wako mbali hivyo hawana wasiwasi.