Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Mkuu mbona husomeki...Kwa UCL imeshakwisha? Kuna uwezekano kati ya hizo timu 2 moja ikachukua Kombe na nyingine ikawa mshindi wa pili....Subiri goma bado linaendelea...Mimi sio mnazi wa EPL..lakini ndio ligi ninayoingalia sana pamoja na ya VPL....
 
Mkuu mbona husomeki...Kwa UCL imeshakwisha? Kuna uwezekano kati ya hizo timu 2 moja ikachukua Kombe na nyingine ikawa mshindi wa pili....Subiri goma bado linaendelea...Mimi sio mnazi wa EPL..lakini ndio ligi ninayoingalia sana pamoja na ya VPL....
A ha ha ha walidai tusubiri robo fainali zitaingia timu ngapi,tumesubiri mkuu tumeona zitaingia timu mbili.Huku Laliga wakiingiza timu 3,bila shaka utajua ipi ligi bora.

Wewe umevutiwa kuangalia umaarufu wa ligi na si ubora wa ligi.

Kuhusu kuchukua ndio wanaweza kuchukua,lakini timu ya EPL ndio itakayokuwa bora na si ligi nzima kwa ujumla.

Poleni wanazi wa EPL.
 
Mpira wa miguu hauna formula kama ambavyo Chelsea leo atakavyomtoa bingwa wa Laliga kwa mara kibao barca nyumbani kwao Camp Nou
 
Mtu chake apendacho!Usitake tulingane hisia in nature siipendi la liga.
 
!
!
Mkuu kuna msukuma kajoin group!
Pumv@vu wewe, nilikwambia msukuma akijoin mumtoee... Mnanidhalilisha sana kmmmakee aaaaah ahh
 
Siku Messi akitundika Daluga, mtahamia Ufaransa kisa Neymar....

Ushindaji wa EPL hakuna mfanowe, ndo maana wataalam wa Soka wakaipa number 1.
Wacha mambo za kamanda Mambosasa kudanganya danganya pipo kwa media
 
Reactions: PNC
We ni mfuatiliaji mzuri wa mpira umenikumbusha mbali sana wakati huwo ukisikia refa wa mechi ni Pierluigi Collina basi hiyo siku usuthubutu kukosa kuitazama hiyo mechi it was real good days.
 
Saizi Man City hata akipigwa mechi tano bado ataendelea kuongoza EPL.
 
Mkuu huu ni uongo na pumba pia
 
Waliingiza timu 5 kwenye last 16. Ikifika saa 7 usiku zinabaki mbili.

Spain waliingiza 3 top 16 ikifika saa 7 usiku zinabaki zilezile 3.

Spain kwa sasa wana run soma la dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…