Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Isingekuwa mbeleko safari hii spain kusingekuwa na timu hata 1 nusu fainali. Na hapo man city na liver zimetoana zenyewe. Uwezekano ungeongezeka wa kubakisha timu 2 kama wasingekutana.
mbeleko una ijua ww, sisi tupo semi final
 
La Liga imeendelea kudhihirisha ubora wake baada ya wanaLaliga Atletico Madrid kutinga fainali ya UEFA Europa League kwa kuwafurusha Arsenal wa Uingereza kwa bao moja kwa bila. Ni bao la Diego Costa. Tayari Laliga imejihakikishia kucheza fainali zote za UCL na UEL msimu huu baada ya Real Madrid na Atletico Madrid kufanya yao. Wana-rugby wa Uingereza mpo?
 
sasa ni wakati wa liverpool kurudi na kuitawala bara la ulaya.see you in 26 may 2018.
 
sasa ni wakati wa liverpool kurudi na kuitawala bara la ulaya.see you in 26 may 2018.
Hakuna timu ya EPL imewahi kutawala Ulaya. Hata zilizowahi kuchakua Champions league hua zinachukua na kupotea. Kutawala ni anachofanya Madrid, alichofanya Sevilla misimu kadhaa hapo nyuma, na Baca.
 
Siku zote naamini EPL ni ligi yenye umaarufu ila ukisema ubora moja kwa moja ni La liga
Over
 
Real Madrid na Barcelona no club zenye wachezaji ambao in first class duniani wanavyozifunga timu za Spain ndiyo wanavyozigonga za England!...
 
Back
Top Bottom