isotaaaa
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,944
- 824
Wache Spain wachaze mpira waingereza wanatafuta hela na nakuvutia makapuni kuwekeza kwao ili watu wao hasa vijana wapate ajira.Gareth Bale unamfahamu? Karibu makocha wote hulalama kuhusu wachezaji wa kiingereza
Pep Guardiola: English players too expensive
Stones made City poorer by 47.5 million pounds (Dh212.3 million) when they signed him from Everton in August.
But mkuu kuna hoja za kupeana challenger but issue zilizo openly hatuhitaji kuonesha kama tunabishania tuziache tusionekane nonsense
Kama unataka waingereza wasio watu wa mchezo trace m iaka 1760s,utawajua hawa watu .
Wao wana anza kutengenenza machine (John millings)ulaya inashangaa.kama mnavyo shangaa nyie leo. Spain anaye lipwa hela nyingi Ronald n.a. messi. Nenda England uta mkuta rooney na w engine.wengi tu
Wana uzalendo mno na watu wao kuliko mtu wa nije.
Angalia maajabu ya Barcelona walitangaza? kwa sababu wakitangaza hawa iingizi faida sa bora watangaze man United.