Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Gareth Bale unamfahamu? Karibu makocha wote hulalama kuhusu wachezaji wa kiingereza
Pep Guardiola: English players too expensive

Stones made City poorer by 47.5 million pounds (Dh212.3 million) when they signed him from Everton in August.

But mkuu kuna hoja za kupeana challenger but issue zilizo openly hatuhitaji kuonesha kama tunabishania tuziache tusionekane nonsense
Wache Spain wachaze mpira waingereza wanatafuta hela na nakuvutia makapuni kuwekeza kwao ili watu wao hasa vijana wapate ajira.

Kama unataka waingereza wasio watu wa mchezo trace m iaka 1760s,utawajua hawa watu .
Wao wana anza kutengenenza machine (John millings)ulaya inashangaa.kama mnavyo shangaa nyie leo. Spain anaye lipwa hela nyingi Ronald n.a. messi. Nenda England uta mkuta rooney na w engine.wengi tu
Wana uzalendo mno na watu wao kuliko mtu wa nije.
Angalia maajabu ya Barcelona walitangaza? kwa sababu wakitangaza hawa iingizi faida sa bora watangaze man United.
 
Mkuu mbona umeongea kinyume...
Ulipaswa useme hiv wachezaj wakitoka Spain kwenda epl 95% wanaenda kua nyota haswaa...
Wakat wachezaj wanaotoka epl kwenda la Liga n 5% ndo wanaweza kucheza kule na kuwika....

Lakn pia Lazma uweke hil kichwan mwako... Mchezaj anapocheza epl anataka kukuza kiwango il akacheze kwenye team zenye world class player...Madrid or barca
Sio kweli, mchezaji akitoka epl hawezi kufurukuta epl mfano Falcao, pedro, Costa lkni wamitoka epl kwenda la liga wanangara mfano cr 7, bale alonso, masherano
 
Sio kweli, mchezaji akitoka epl hawezi kufurukuta epl mfano Falcao, pedro, Costa lkni wamitoka epl kwenda la liga wanangara mfano cr 7, bale alonso, masherano
Unaona Sasa hakir yako....huyo Pedro ndo kiwango chake kilivyo...? Kaja Chelsie kama mtam zaid jins anavyocheza...

Costa huyu anaefunga Chelsie kila kukicha....? Tena Costa katoka atl.Madrid akiwa na msim mmoja mzur pekee kama alivyokua Falco.... Pedro mpira wake kila nnapoiangalia Chelsie naona ka improve sana...

Any way cjajua ww n muangaliaj soka ama husubr kuckiliza final result...watz weng kuangilia mpira mpaka team anayo ishabkia iwe Ina cheza.... Comments zako zmekaa kiubsh na c kiuchbuz

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Soka la spain na UK lazima litofautiane. Spain wanatumianakili sana... na wamewekeza kwenye mbinu na vipaji.
Waingereza.. wamewekeza kwenye nguvu na speed. Ndio maana wachezaji wa EPL miili imejengeka haswa na mpira ni wa kutumia nguvu sana.
suala la ubora wa ligi.. nadhan ligi zote ni bora m. Lakin katika nyanja tofauti
 
Vitu vingine havina maana kabisa hv ni nani anataka kuangalia barca/Madrid akicheza na osasuna? Msimu mzima ligi inasubiri mechi btn barca vs Madrid, Madrid vs atletico, barca vs atletico. But EPL hakuna timu ndogo wala kubwa linapokuja suala la mchezo uwanjan udogo wa timu ni historia yake ama economic status yake ila uwanjani hata anayeongoza ligi anafungwa na walio kwenye delegation zone. Ndio maana sichoki ni sitoacha kuitazama EPL. barca, madrid na atletico huwa naziangalia zinapocheza uefa tu
 
Aisee.....kwa nn usiangalie...? Osasuna una wadharu...? Mpaka hapo baac...mpira haujui.....! I can not comment any thing....
 
Aisee.....kwa nn usiangalie...? Osasuna una wadharu...? Mpaka hapo baac...mpira haujui.....! I can not comment any thing....
Mkuu mpira ni ushindani ndio maana mashabiki wa soka tunaangalia ligi yenye ushindani. Sasa kuangalia mechi ambayo unajua itaishia kwa mmoja kufungwa kuanzia 5 bila hamna maana wakati huo huo kuna mechi kati ya spurs vs Everton hapo unaweza ukampa mmoja nafasi zaidi ila mechi inakuwa Kali na mshindi hadi dk 90 . ndio maana EPL inabaki ligi yenye ushindani mkali zaidi. Angalia kwa mf kwa sasa kuanzia nafasi 2-6 timu zimeachana kwa point chache sana na ushindani in mkali hivyo top 4 bado ni mziki tofauti na la liga hata ww unaweza ukataja timu zinakazomaliza top 4 na ikawa hivyo cause uahindan ni mdogo
 
Mkuu ushindan kwako n kuwa na point sawa ama n kuangalia zile ethics za mchezaj akiwa uwanjan as a complete player..

Unataka kusema nn kwamba kwa sababu darasa lenu lote n mburara na hakuna wa kumzd mwenzake kwa umburara ndo utasema Lina ushindan...?

Barcelona na Madrid zitoe kwenye la Liga maana hizo n world wide...hiz n bora mda wote...

Lakn wale wengne wote walio bak n ngum kutabil mech zao..yaan team kama Las Palmas, real bets,athletic bilbao,Valencia,sevilla,Villarreal,elber, celta vigo, atl.Madrid,granada, osasuna kama unabisha jaribu hata kufanya betting. Team za Spain mpira znaucheza haswaa na ngum kumjua mshind.. Hakir nying sana znatumika kwenye football..huku epl watu wanatabil sana na cku moja moja wanakosa kwa sababu ya team kubwa kufungwa...

Unaona Kuna ushindan kwa sababu hujakaa kwenye TV na kuangalia mpira zaid ya epl... Ukiangalia mpira wenye Kas na nguvu zaid upo Bundesliga.. Ukifululiza unaangalia la Liga mech zake baac epl utakua unawatukana kila cku wachezaj wao unapo angalia mpira....nakushaur kama ww n mpenz wa football jaribu kuangalia halafu turud tujadil
 
How is overrated....? Tel us in a football language...

Laliga is overrated as to ranking factors that are usually considered to acclaim it as a best make no sense to me.

Dominating FIFApro XI team in every year doesn't necessarily mean laliga is a best.
Having dominance in UCL three years consecutively doesn't necessarly mean laliga is the best.

In my perspective the strengh of the league is highly attributed to the level of competition, Laliga is one hell of predictable league with no competition.
 
I never mention any thing about FIFApro XI.. Even 2me this one is not the reason to be called best...

But 4 uefa champion league. This is the main reason for league to be more competitive.... When you mention about top four that means all team are fighting to be in uefa champions League..so on my perception u can't neglect uefa as a measure rule on categorizing international league
 
Poor justification...et gharama kubwa...kama una kiwango watakuchukua tu whatever the money is...czan kama pesa ndo tatzo ila kiwango ndo tatzo...

Tuliongelea wachezaji wanaotoka mabara tofaut walioko epl na sio waingereza tu. Hata hvyo hilo sio tatzo kama kiwango kipo..

Weka tena kichwan hil.. Wachezaj weng wa kingereza wanakosa maarifa, hakir na ufund wa mpira...wanapewa cfa ambazo c za viwango vyao..wao walichobarikiwa n fighting spirit kama vile nguvu,rafu na encouragement...yaan mpira kwa sio burudan bal n vta Kal...
I think am talking with a fool... sorry naomba usiniquote tena.
 
Laliga is overrated as to ranking factors that are usually considered to acclaim it as a best make no sense to me.

Dominating FIFApro XI team in every year doesn't necessarily mean laliga is a best.
Having dominance in UCL three years consecutively doesn't necessarly mean laliga is the best.

In my perspective the strengh of the league is highly attributed to the level of competition, Laliga is one hell of predictable league with no competition.
kawaida hiyo. mpira ukichezwa kwa utaalamu na akili hutabirika. ila ukichezwa kwa vurugu bila akili na maarifa kama EPL ni ngumu kutabiri. na kawaida anayetumia nguvu akipambana na anayetumia akili, wa nguvu hushindwa. kwenye top 4 ya EPL hakuna timu inaweza ifunga Las Palmas. hapo hatujazungumzia villareal, sociedad au bilbao.
 
I think am talking with a fool... sorry naomba usiniquote tena.
Hahahahaaaaa.....aisee umepanic kwel kwel....ofcourse am a fool...so what...? But heshm mawazo ya mwingne..yawezekana ww ndo ukawa fool twicely bla kujitambua...cku zote Nyan haon kundule

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
kawaida hiyo. mpira ukichezwa kwa utaalamu na akili hutabirika. ila ukichezwa kwa vurugu bila akili na maarifa kama EPL ni ngumu kutabiri. na kawaida anayetumia nguvu akipambana na anayetumia akili, wa nguvu hushindwa. kwenye top 4 ya EPL hakuna timu inaweza ifunga Las Palmas. hapo hatujazungumzia villareal, sociedad au bilbao.
Vp Leicester city inayostruggle isishuke daraja vs Sevila
 
Mtu Mwenye akili anatambua mpira unadunda. so ushabiki wa kinazi hana
 
Uefa kwanfu ndio kipimo cha ligi Bora, la liga round ya robo fainali huenda zikawa Tim 3, EPL 2 au 1, bundesiliga 2 au 3, France ikawa 1 au 0, kwangu ligo Bora lazma tumilike Na uefa, no la liga bdio Bora kwangu. Tatizo no uchumi wa Tim zingine no ndpgo ukilinganisha Na madr, barc, Na atlet, lkn mpira upo spain
 
Laliga is overrated.
FB_IMG_1489618950950.jpg

Are you sure with your statement Mkuu?
 
Je afrika ligi bora ni misri kwa kuangalia club binwa afrika.mtoa maada wewe mwenyewe shabiki wa EPL.ligi yenye ushindani na yenye mvuto ni EPL.kwa sababu hata mtoa post ni shabiki wa EPL.
 
Back
Top Bottom