Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Wanazi wa EPL mpo?
mbeleko una ijua ww, sisi tupo semi finalIsingekuwa mbeleko safari hii spain kusingekuwa na timu hata 1 nusu fainali. Na hapo man city na liver zimetoana zenyewe. Uwezekano ungeongezeka wa kubakisha timu 2 kama wasingekutana.
We meet and enjoy in Kiev, Ukraine on 26/5/2018. Cheers!sasa ni wakati wa liverpool kurudi na kuitawala bara la ulaya.see you in 26 may 2018.
Hakuna timu ya EPL imewahi kutawala Ulaya. Hata zilizowahi kuchakua Champions league hua zinachukua na kupotea. Kutawala ni anachofanya Madrid, alichofanya Sevilla misimu kadhaa hapo nyuma, na Baca.sasa ni wakati wa liverpool kurudi na kuitawala bara la ulaya.see you in 26 may 2018.
Achana na Real na Baca. Size yao Athletical Madrid na Sevilla .Real Madrid na Barcelona no club zenye wachezaji ambao in first class duniani wanavyozifunga timu za Spain ndiyo wanavyozigonga za England!...
Kama madrid alivyomgonga spurs nje ndani msimu huu..si ndiyo!!?Real Madrid na Barcelona no club zenye wachezaji ambao in first class duniani wanavyozifunga timu za Spain ndiyo wanavyozigonga za England!...
Ongeza roma ya italia hapo kwenye wachezaji first classReal Madrid na Barcelona no club zenye wachezaji ambao in first class duniani wanavyozifunga timu za Spain ndiyo wanavyozigonga za England!...