hamfcb
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 588
- 668
kigezo cha kua na ligi bora ni lazima uwe na tim bora. sasa kupima lazima tuzipambanishe kwenye UEFA maana kila ligi itasema sisi ndio tuna timu bora. mfano england mancity ni tim inayo onekana ni bora lakini ilivocheza na Madrid juzi tuliona tofauti kubwa ya ki uwezo wa wachezaji. wachezaji hatari wa city kina yaya na aguero walionekana kama watoto wa chekechea mbele ya Madrid. mfano mwengine ni arsenal ambayo ni tim ya pili kwa ubora epl ilivocheza na barca ilikua ni sawa na barca anavocheza na kina getafe au espanyol yaani mamaanisha kwamba barca hakupata challenge yoyote kutoka kwa arsenal...hii inakupa picha jinsi gani kuna tofauti kubwa ya quality kati ya top 5 ya epl na top 5 ya la liga.. EPL sio kwamba ni ligi mbovu ila tu haijafika level ya ku dominate ulaya kama wanavofanya laliga. ivi jiulize tim za epl kukutana zenyewe kwa zenyewe kwenye fainal za uefa au europa imetokea mara ngapi? kwa haraka haraka mi nakumba manu na Chelsea tu ziliwahi kukutana kwenye final ya UEFA. lakini laliga nakumbuka Valencia vs real madrid..atletico vs real madrid zimekutana mara 2... sevilla vs espanyol. bilbao vs atletico Madrid. na hapo sija Google huenda kuna nyingine nimesahau