Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

Wakati La Liga ikitawala Ulaya, wanazi endeleeni kuamini EPL ni ligi bora Ulimwenguni

kigezo cha kua na ligi bora ni lazima uwe na tim bora. sasa kupima lazima tuzipambanishe kwenye UEFA maana kila ligi itasema sisi ndio tuna timu bora. mfano england mancity ni tim inayo onekana ni bora lakini ilivocheza na Madrid juzi tuliona tofauti kubwa ya ki uwezo wa wachezaji. wachezaji hatari wa city kina yaya na aguero walionekana kama watoto wa chekechea mbele ya Madrid. mfano mwengine ni arsenal ambayo ni tim ya pili kwa ubora epl ilivocheza na barca ilikua ni sawa na barca anavocheza na kina getafe au espanyol yaani mamaanisha kwamba barca hakupata challenge yoyote kutoka kwa arsenal...hii inakupa picha jinsi gani kuna tofauti kubwa ya quality kati ya top 5 ya epl na top 5 ya la liga.. EPL sio kwamba ni ligi mbovu ila tu haijafika level ya ku dominate ulaya kama wanavofanya laliga. ivi jiulize tim za epl kukutana zenyewe kwa zenyewe kwenye fainal za uefa au europa imetokea mara ngapi? kwa haraka haraka mi nakumba manu na Chelsea tu ziliwahi kukutana kwenye final ya UEFA. lakini laliga nakumbuka Valencia vs real madrid..atletico vs real madrid zimekutana mara 2... sevilla vs espanyol. bilbao vs atletico Madrid. na hapo sija Google huenda kuna nyingine nimesahau
 
Ushindani wa EPL nadhani unatokana na viwango vya wachezaji kulingani kwa timu zote, jaribu kuangalia mchezaji mmoja mmoja kuanzia timu iliyochukua ubingwa hadi iliyoshuka daraja kama tofauti ipo ni ndogo sana.. Ishu ya wachezaji kufunga goli nyingi laliga sidhani kama ni wepesi wa timu ila laliga wanacheza open football zaidi kuliko EPL, kama ingekua ni rahisi tulitegemea timu za EPL zifunga goli nyingi zinapokutana na timu za laliga kutoka na wepesi wa kufungika... Hembu tujaribu pia kulinganisha bingwa wa EPL anakiwango cha timu gani pale Spain? Zilizopo top 4 au mid table? Baca na real Madrid tuziache, hizo zipo mbali sana kwa sasa, tuangalie hizo zilizobaki.. Kama wengi mnavyosema laliga timu 2, tulitegemea hizi timu mbili hazipo uropa ligi kwa hiyo EPL ingetamba huko, vipi sasa, mbona hizo zisizo na viwango zinawatesa??!!
"UBORA WA SHULE HAUPIMWI KWA MITIHANI YA NDANI BALI MITIHANI YA TAIFA, UNAWEZA KUA NA WANAFUNZI WA KIWANGO CHA CHINI NDANI YA SHULE NA WAKAWA NA USHINDANI WA KIWANGO CHAO"
villareal kala ngapi kwa liver?..dortmund kala ngapi?..kuna kajinga ka la liga kalipgwa 4 na man city,ukitaja timu usitaje madrid,hakuna kitu mule,barcelona ni timu inayoelekea mwisho,monaco ilifika final 2004 lakin haikua bora kuliko man u au arsenal au hata madrid,darasa linaweza kuwa na mwanafunzi bora anaeburuza wanafunzi wa shule zingne bora kwenye mitihani ya mock lakin wenzake wakawa maboya wasiojiweza,huwez kusema hyo shule ni bora
 
unaweza kuwa una akili katikati ya wajinga. sasa kama epl ni bora basi ikaonekane kwa hao barca, real na atletico.
 
GUYS, you are entitled to your OPINIONS but you are not entitled to THE FACT. La liga ni ligi bora, leicester kushinda epl haimaanishi ni ligi bora!!
Hata vipofu wakicheza wenyewe kwa wenyewe ligi yao ina upinzani, ukitaka kujua ligi ya hao vipofu sio bora waweke na wenye kuona! Nafikiri nimeeleweka!!
 
villareal kala ngapi kwa liver?..dortmund kala ngapi?..kuna kajinga ka la liga kalipgwa 4 na man city,ukitaja timu usitaje madrid,hakuna kitu mule,barcelona ni timu inayoelekea mwisho,monaco ilifika final 2004 lakin haikua bora kuliko man u au arsenal au hata madrid,darasa linaweza kuwa na mwanafunzi bora anaeburuza wanafunzi wa shule zingne bora kwenye mitihani ya mock lakin wenzake wakawa maboya wasiojiweza,huwez kusema hyo shule ni bora
Kama sijakuelewa vile, kwani tatizo ni kupigwa? Hakuna timu isiyofungwa hata iwe bora kiasi gani.. Naona kama ume panic tu ku comment..
Baada ya hako ka timu kufungwa na mancity, hao mancity wamefika wapi? Na hao liver wamefika wapi... Mwisho wa siku no body cares ulimfunga nani, je ulishinda chochote? Pia hatuangalii ubora kwa kubahatisha msimu mmoja... Kitendo cha laliga kuingiza timu nyingi kwenye hatua za mtoano kwa misimu mfululizo kinadhihirisha ubora wake uko wapi.. Na hawaishii hapo wanachukua na vikombe.. Hizo story unazoleta wewe ni za kujaribu..
 
kumbe umeelewa!...kwani sevilla jana sikamfunga Liverpool mechi moja tu..au kamfunga mechi ngapi?
 
kumbe umeelewa!...kwani sevilla jana sikamfunga Liverpool mechi moja tu..au kamfunga mechi ngapi?
Hahaaaaaaa, sasa unahisi sevila kabahatisha? , au unajitoa ufahamu.. Sevila kachukua ubingwa mara Tatu mfululizo, ndani ya miaka 7 kachukua mara tano, sasa wewe sijui unazungumzia nini.. Hizo timu zako za EPL hua ziko wapi? Kuchukua mfululizo hiyo tunaita consistence, inaonyesha hubahatishi.. Ila kuibuka mara moja na kupotea huo ndio ubahatishaji..
 
MTABISHANA HADI KUNA KUCHA KWA SASA LIGI BORA IPO SPAIN SEVILLA KAPIGWA GAME MBILI MFULULIZO NA VIBONDE CHEKI ALICHO MFANYA LIVER HUYO BARCELONA MWENYEWE NA MADRID MIAKA YOTE KILA KOCHA ANAOMBA ASIKUTANE NAO KWA NN?
 
GUYS, you are entitled to your OPINIONS but you are not entitled to THE FACT. La liga ni ligi bora, leicester kushinda epl haimaanishi ni ligi bora!!
Hata vipofu wakicheza wenyewe kwa wenyewe ligi yao ina upinzani, ukitaka kujua ligi ya hao vipofu sio bora waweke na wenye kuona! Nafikiri nimeeleweka!!

leicester hawez kupambanishwa na atletico,barcelona au madrid hizo levo haziwez yule levo zake ni villareal au athletic club na sio kwamba atawamudu lazima atachezea tu ligi bora kwa sasa ipo spain. tayar liva kafa hapo super cup watacheza wenyewe mshindi wa ueropa na ucl wanapokutana hii ina maana vikombe vitatu tayar vipo spain.
 
GUYS, you are entitled to your OPINIONS but you are not entitled to THE FACT. La liga ni ligi bora, leicester kushinda epl haimaanishi ni ligi bora!!
Hata vipofu wakicheza wenyewe kwa wenyewe ligi yao ina upinzani, ukitaka kujua ligi ya hao vipofu sio bora waweke na wenye kuona! Nafikiri nimeeleweka!!
Tangu nikujue leo ndo nakupa like yangu.
 
kumbe umeelewa!...kwani sevilla jana sikamfunga Liverpool mechi moja tu..au kamfunga mechi ngapi?
Kukuelewa amekuelewa ila wewe una kichwa kizito kumuelewa, kama sio kichwa kizito basi ni mahaba.
 
Kwa sasa hii EPL ni ya tatu Kwa ubora sema tu matangazo meeeng km ule msemo wa kibaya chajitembeza.
 
Bsiliga ni Bora kuliko EPL wala halina ubishi pia angalia hata Tim za EPL zikikutana na vitim vya Ujeruman ata viwe chin kwenye msimamo wa ligi bado vinatoa tu doz ni Liver tu alie jitetea lkn zilizobak ni vichapo angalia Barcelona kweye uefa alikutana na kitumu mda ule kilikua nafas ya 8kwenye lig lakin kilikomaa na bacca mwanzo mwisho akaambulia droo ya goli 1kias kwamba ushind wa nyumban ndoulimuokoa,wote ni wa wapenz wa EPL hla penye ukwel tuwe waz Kwa sasa ni ya tatu hlo halina ubishi.
 
Hilo lipo wazi...la liga ni BORA zaidi...kuna wakat watabiri(maana siyo wachambuzi) wa hapa bongo baadhi walisema la liga bingwa anapatikana tayar gap likiwa kubwa...sasa majibu yapo wazi toka zaman za kale...ubora wa ligi ndio unakufanya na wewe kuwa bora nje...ni kama enzi zile...vipanga wa shule ya vipaji ni vipanga tu hata wakienda kwenye mitihan ya taifa...sasa watu wapo ligi mbovu halafu unategemea wawe bora kwa kipi haswa...
watu wnashau kwamba hata wabovu huonyesha ushindani ila wakikutana na wanaojua ndo ubovu wao unakuwa dhahiri, timu zote za hispania zinazifunga na pia kuzisumbua mno timu za uingereza. EPL imedorora mno kiufundi.
 
timu za hispania zinazokutana na timu za uingereza ni barcelona tu,zingne zinakutana kila baada ya miaka kumi
 
ukweli ni kuwa england wanapesa na matangazo wanayajua. lakini kwa ubora wa ligi ni LA LIGA. EPL atasubir
 
Back
Top Bottom