Kama la liga in nzuri mbona watu wanaàngalia EPL kwa bei mbaya na la liga kwa 15000 na watu hawafuatiliiLa Liga ndio Ligi bora zaidi kwa sasa, ila EPL ndio Ligi shindani zaidi kwa sasa
Acha uongo elfu 15 nyingi hizo game bure town mabanda ya kahawa kibao yana ving'amuzi vya azam kashata yako moja unakaa unakula mtafutano wa maazonto wa zidaneKama la liga in nzuri mbona watu wanaàngalia EPL kwa bei mbaya na la liga kwa 15000 na watu hawafuatilii
EPL ina mashabiki wengi zaidi.Kama la liga in nzuri mbona watu wanaàngalia EPL kwa bei mbaya na la liga kwa 15000 na watu hawafuatilii
Mwisho wa siku ile ligi ya timu 2 ndio inatawala uefa .Laliga iliyotawaliwa na team 2 kama sio 3 ufananishe na ushindani wa EPL????? epl hakuna cha "underdogs" unafungwa na team yoyote ile, sasa laliga ikicheza "levante vs barca/madrid" unajua kabisa levante atakul 8+.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha y[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani Umemaliza kila kitu mkuuyaani EPL km umekusanya dv 0 tupu afu unawashndanisha yaan utapata mchuano mkali sana but wa wenye uwezo hafifu
haha umeongea ki2 ambacho ni kinyume na ukweli. msimu huu barcelona kachukua ubingwa mechi ya mwisho kabisa. wakati epl bingwa alijulikana mapema tu. sasa wewe ulikua unawaza nani mshindi wakati bingwa kashatangazwakwa upande wangu ligi ya EPL ndio lig bora hspania ni ya tmu 3 aina ushndan miaka nenda rud ni wale wale katika nafasi za juu yaa 1mpaka3 ahahaha lg epl bana lg mpaka dk ya mwsh mnawaza nan mshind haha
UMENICHEKESHA DAHKila mtu anamuona mkewe ndio mzuri, sasa nyinyi wa kwenu mzuri La liga sisi mtuachie wetu Epl. Siajabu kila weekend macho kwa mke wetu. Huwezi kulipa pesa kubwa kwa kununia kitu kibaya Epl ni bidhaa bora ndio maana bei yao iko juu sio UK tu ni duniani.
aah wap kjana hata leicester city imesubr imepewa ubingwa baada ya cfc kutoka droo na totnhamhaha umeongea ki2 ambacho ni kinyume na ukweli. msimu huu barcelona kachukua ubingwa mechi ya mwisho kabisa. wakati epl bingwa alijulikana mapema tu. sasa wewe ulikua unawaza nani mshindi wakati bingwa kashatangazwa
Baada ya jana Real Madrid kuwafurusha Man City kwenye michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya,maarufu kama UCL,Real Madrid wamepanga miadi na wanajiji wenzao wa Atletico Madrid kupambana kwenye mchezo wa fainali ya UCL.
Fainali itapigwa mwezi huu kwenye uwanja wa kipekee wa Giusseppe Meazza,Italia. Fainali hiyo itakuwa marudio ya fainali ya timu hizohizo na kwenye michuano hiyohiyo ya mwaka 2014. Mwaka huo,Real Madrid chini ya Ancelotti walitwaa ubingwa wa UCL.
Mwaka 2015, wana La Liga wengine Barcelona chini ya Luis Enrique walitwaa ubingwa wa UCL wakiwashinda Juventus wa Massimiliano Allegri. Hadi hapo na kwa matokeo ya jana,La Liga powerhouses wako njiani kutwaa UCL kwa mara tatu mfululizo.
Kimsingi,La Liga imetawala soka la Ulaya. Lakini,wanazi hawakosekani. Wataendelea kudai kuwa Ligi Kuu ya Uingereza maarufu kama EPL ndiyo ligi bora duniani. Yaani ligi ya rugby iwe bora kwenye soka?!? La Liga wanapiga kimyakimya.
Mkuu unasahau kuwa hizo timu mbili zina uwezo mkubwa sana kupitiliza hivyo usizibeze timu nyingine za la liga. Timu kama Sevilla. A. Madrid, A. Bilbao zipo kundi sawa na top four za EPL. Unasahau pia R. Madrid au Barcelona ikiwa inacheza na top four za England tunakuwa tunajua kuwa lazma timu ya EPL lazma ipigwe.Kama Ukiangalia Timu 2 tu Kwenye 20 na 18 ukazifumbia Macho! Basi LaLiga Ni Ligi Bora....
Lakini Kama Utaziangalia Timu Zote 20 basi EPL ni Ligi Bora...
SABABU:
1) Ligi ya EPL ni Ligi Yenye Ushindani Kiasi Ya Kwamba Timu Zenye Uwezo Kama Man U, Chelsea na Liverpool Zinaweza Kukosa Hata Nafasi Ya Kucheza Champion League! Lakini Sapain Ni Ligi ya Timu Mbili (Real & Barcelona).....
2) Kuhusu Kutamba Kwa CL ni Timu Mbili tu Real & Barca Na Ndiyo Record Hiyo Mbovu Kwa Laliga Kwamba Timu Zilizothubutu Kunyanyua CL ni Mbili 2... Tofauti na EPL Ni Timu 5 zilizoweza Kutwaa UCL... Kwamanahiyo Muna Ligi ya Timu Mbili.....
3) Hata Kwenye ligi Ya Spain Ni Timu Mbili Tu Ndiyo Wanaoshare Kombe na Kuishia Kuwadunga Kina Levante goli 7.... Tofauti Na Uengereza Kwamba Hadi Lecester Anaweza Kukufunga na Kunyakua Kombe....
4) Hata Katika Ngazi Ya Kibiashara EPL ni Ligi Bora Zaidi Kibiashara Kuliko Ligi yoyote hile! Tofauti Na Spain Ambako Biashara ni Kwa Real na Berca....
Mkuu Hata Bayan inafanya Vizuri Barani Ulaya, Haimaanishi Kuwa Bundesliga Ni Ligi Bora! Bali Bayan ni Timu Bora Kutokana Na Utajiri Wake Wa Kuchukua Wachezaji Wazuri Wa Timu Nyengine Za Bundesliga Ambao Wanahisi Bayan Ndiyi Timu ya Ndoto Zao...
Kwahiyo Na Spain Sio Ligi Bora! Bali inatimu Mbili tu Bora Kutokana Na Utajiri Wao Hunyakua Wachezaji Wazuri Wa Timu Nyengine Na Kuimarisha Timu Zao Mbili... Kwahiyo Ligi isiyo na Ushindani Huwezi Sema Ni Ligi Bora..
Mfano Mdogo Ni Kwamba Ligi ya Spain ikianza tu! Basi Unajua Fika Kuwa Bingwa Asipokuwa Barca ni Real na Dunia Nzima inajua Kama Sapain Wanaoshindaniana Kombe Ni Real na Barca tu!!! Lakini EPL Hakuna Mwenye Jeuri Ya Kusema Nani Ataibuka Bingwa....
Kwahiyo Ligi inayofika Mpaka April Ikawa Haijajulikana Nani Ataibuka Bingwa Ndiyo Ligi Bora...
Mkuu unasahau kuwa hizo timu mbili zina uwezo mkubwa sana kupitiliza hivyo usizibeze timu nyingine za la liga. Timu kama Sevilla. A. Madrid, A. Bilbao zipo kundi sawa na top four za EPL. Unasahau pia R. Madrid au Barcelona ikiwa inacheza na top four za England tunakuwa tunajua kuwa lazma timu ya EPL lazma ipigwe.
Mkuu King Ngwaba ubora wa ligi hupimwa kwa michuano ya UEFA ya ngazi ya klabu. Kokotoa utaona ligi ipi bora hadi sasa kwa UEFA CL inayoendelea.
Barcelona ikiwa inacheza na top four za England tunakuwa tunajua kuwa lazma timu ya EPL lazma ipigwe.