Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Sisi tunaishi katika dunia yetu.
Mpaka leo ligi haijaisha😂
Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao.
EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza.
Weekend hiyo Man Utd na Arsenal watakuwa pale OT kumenyana.
Sisi kuna sehemu tunakosea pakubwa sana, au ndio mpira wetu kivyetuvyetu