Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kasongo na mguto ni kama muriro tu . Yeye anaweza kujua kwamba mtu anaitisha maandamano hata kabla hajatangaza na anabashiri matokeo ya maandamano piaHuo mwezi wa nane Kuna CHAN mwezi wa 12 afcon
Kupanga ratiba ya ligi yetu ni inatakiwa uwe genius kama mguto au Kasongo