Wakati majirani wanasheherekea ndege yao ya kwanza, huku raisi atakua abiria wa kwanza kwenye ndege yetu ya kwenda US

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jana majirani wamesheherekea nchi yote kupokea ndege, sisi kwa kweli hatufai kuwabeza maana kila mtu anafuraha kulingana na mafanikio ya level yake, maana wao moja hiyo ilhali sisi tunazo 37 kama hizo.
Rais Uhuru anajiandaa kuwa abiria wa kwanza kwenye uzinduzi wa safari za kwenda Marekani, kwa yeye kufanya hivyo ni jambo muhimu maana atakua anaupigia debe huo mkondo na kusababisha ufahamike kote kote.

Rubani wa hiyo ndege atakua dada yetu Irene Koki ambaye ni mjuzi sana kwenye urubani.
------------------------------------------------------------

1781633.jpg

An undated photo of Captain Irene Koki, who will fly President Uhuru Kenyatta to New York on KQ's maiden Kenya-US flight. /COURTESY

Africa's first female Dreamliner captain, Irene Koki, will fly President Uhuru Kenyatta to New York on KQ's inaugural flight to the US.

The Kenya Airways pilot became one of the most popular captains in Africa after landing at Nairobi's Jomo Kenyatta International Airport in the airline's fourth Dreamliner

Uhuru will depart in business class from the Nairobi airport at 11.25 pm on October 28. He will land at the John F Kennedy International Airport in New York at 6.25 am the next day.

KQ has started selling tickets for its maiden direct flight to New York, for which economy class fliers will pay Sh89,000 both ways.
In January, KQ CEO Sebastian Mikosz announced that that business class customers will pay Sh257,634 both ways and that the tickets will be subject to government approval.

Kenya Airways said the timings were set to allow connections to and from 40 African destinations.

"The move will cut the flight time between the two cities by more than seven hours," he said, noting it will take 15 hours eastbound and 14 hours westbound.

Economy fliers on Qatar Airways will pay Sh93,000 from Nairobi to New York but they will stop at Doha for two and a half hours and the trip will take 22 hours and 30 minutes long.

The KQ planes will carry 234 passengers, with 30 at the premium world class and 204 in the economy section. They will have four pilots, 12 flight attendants and 85 tonnes of fuel loaded one way.
Captain Irene Koki to fly Uhuru on KQ's maiden US flight
 
Kwa kuwa unatusimanga hatutaipanda hiyo ndege kwenda huko. Tutasuburi ya kwetu na tutasema sana siku hiyo. Utapata taabu sana.
 
Safi sana Uhuru Kenya, hiyo ni hatua pia. Matakataka yatakuja kusema kwamba alipaswa ashangilie kutuma rocket mwezini kama Muzungu na siyo Shirika la ndege kufanya safari kwenda USA!
 
mbona wakenya mliwakaribisha madaktari kutoka cuba na raisi wenu sisi tukisherekea ndege yetu tuliyonunua kwa pesa zetu mnakasirika

acheni wivu
 
Uhuru asisahau kuvuta bangi kwanza kabla hajalikwea pipa.
 
Koki atakufikisha USA upende usipende 😀😀😀🙄🙄🙄
1781633.jpg

Huyo Mbwa hapa Dar kwetu angekufa kwa joto kwa maana hayo manyoya yake si mchezo, mimi wa kwangu hana manyoya mengi namna hiyo, hivyo hapati shida hapa Dar!
 
Safi sana Uhuru Kenya, hiyo ni hatua pia. Matakataka yatakuja kusema kwamba alipaswa ashangilie kutuma rocket mwezini kama Muzungu na siyo Shirika la ndege kufanya safari kwenda USA!

Dah! Hivi ni wewe au mtu kahack akaunti yako, kumbe huwa unatumia akili sometime. Lazima kuna kitu unatafuta, haiwezekani ukaandika hivi bila kulenga sehemu.
 
mtu anaogelea kwenye bwawa la grisi huku akimkejeli anayeogelea kwenye bwawa la tope.
Tanzania na kenya umasikini tunapishana kidogo sana. wote ni masikini wa kutupwa.

Mkuu ukipata muda safiri safiri, jaribu kwenda hapo Nairobi tu kwanza alafu urudi uangalie post yako. Labda tanzania tujilinganishe na Malawi sio Kenya. Kenya iko next level from us.
 
Back
Top Bottom