ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Wewe sio mtanzania hata kidogo tena umelaaniwa wewe!True, mimi ni Tanzanian, lakini mentality ya watanzania wengi ni kama wasafisha choo
Idiot!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio mtanzania hata kidogo tena umelaaniwa wewe!True, mimi ni Tanzanian, lakini mentality ya watanzania wengi ni kama wasafisha choo
Ni kwa vile uzi huu umeanzishwa na jirani tuu, lakini nilikuwa na ya kujibu mengi sana kuhusu sisi wenyewe!Well said
Wakae na Vasco Da Gama wao walahi
acha uongo ww dreamliner yetu ili letwa na capt mtanzania anaitwa capt richard alishafanya kazi ethiopia airline na alikuwa ana ongoza izo B787-8 na kama haufahamu tu Tz tuna marubani wengi sana wapo abroad mfano ktk oman air tuna more than 4 pilots there while kenyan you got only 1 ktk ilo shirika la oman air huo ni mfano mdogo tu na this year nafikiri june au july a new dreamliner will land at JNIA (Dar es salaam) ss sijui na chuki yako utajificha wapiDreamliner yenyu imeletwa na mzungu and most likely they will fly them till you finish training your pilots,now whose worse of?
Do you want to seriously say Tanzania has more pilots than kenya?acha uongo ww dreamliner yetu ili letwa na capt mtanzania anaitwa capt richard alishafanya kazi ethiopia airline na alikuwa ana ongoza izo B787-8 na kama haufahamu tu Tz tuna marubani wengi sana wapo abroad mfano ktk oman air tuna more than 4 pilots there while kenyan you got only 1 ktk ilo shirika la oman air huo ni mfano mdogo tu na this year nafikiri june au july a new dreamliner will land at JNIA (Dar es salaam) ss sijui na chuki yako utajificha wapi
exactly brotherDo you want to seriously say Tanzania has more pilots than kenya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mbona Q400 ilikamatwa? Na AfDB na WB zinatukopesha? Nyinyi si juzi mkataliwa na IMF credit facility to save KShs from falling?Ulitukopesha?
Na hatujasahau kwamba dreamliner yenu imekuwa registered kwa jina la shirika la serikali, ili wanaodai ATCL deni wasiikujie.
Yaani, mko na madeni mengi na hamtaki kulipa.
Sasa tunaelewa kwanini Boeing walimwambia lazima mnunue cash, ilhali mashirika makubwa kama KQ na American Airlines yanapewa favourable terms.
Nyinyi ni wale watu wa kukopa sukari kwa duka na kupotea bila kulipa.