Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poor youMkuu ukipata muda safiri safiri, jaribu kwenda hapo Nairobi tu kwanza alafu urudi uangalie post yako. Labda tanzania tujilinganishe na Malawi sio Kenya. Kenya iko next level from us.
Hahaha 😀😀Nilikuwa naongea kuhusu rubani Pombe hapo kwenye picha akitesti mitambo ya ndege yake mpya. 😀
Patriotism level 99%hehe maajabu ya musa...kutua kwa ndege kunaifanya nchi nzima isimame watu washerehekee kwanza
ndio tofauti ya ldc na middle income![]()
Ulitukopesha?
Na hatujasahau kwamba dreamliner yenu imekuwa registered kwa jina la shirika la serikali, ili wanaodai ATCL deni wasiikujie.
Yaani, mko na madeni mengi na hamtaki kulipa.
Sasa tunaelewa kwanini Boeing walimwambia lazima mnunue cash, ilhali mashirika makubwa kama KQ na American Airlines yanapewa favourable terms.
Nyinyi ni wale watu wa kukopa sukari kwa duka na kupotea bila kulipa.
Siamini mlianza na 37 mlianza na 1,2,3...10 then 20, 30 mpaka 37.
Sisi tumechelewa sana but never say too late, tunaamini tutafika huko pengine tutafeli lkn wanaofanikiwa na kufeli ni walioanza kufanya sisi ndio tumeanza tunaamini nyie pia mlianza ndio maana leo mmefika hapo. tutafika tu wasiwasi wangu ni kuwa na one strong person, badala ya taasisi imara huyu bwana pengine akaondoja 2020 au akaenda mpaka 2025 sijui akiondoka nini kitafuata maana atakae kuja hatujui kama atakuwa regerege au dikteta kama huyu(udikteta mzuri)
hakuna aliyesema tuko sawa. soma kwa utulivu.Are you sure wote tuko sawa? Wao hizo ndege zao wamenunua kwa CASH kama sisi mkuu?
Hehehe povuuuu....za nini zote hizo, upuzi upi nimeandika, nyie mpo mnasheherekea ujio wa ndege ambapo mpo sahihi maana ni kwenye level yenu, sie kwa level yetu tunasheherekea kupata soko la moja kwa moja kwenda Marekani. Sasa kila mtu anasheherekea kwa level yake.
Kwa mfano umenunua daladala lako la kwanza tangu uzaliwe, unaita wanao msheherekee, hiyo ni poa maana ni mafanikio kwenye level yako. Sasa kuna jirani anayo madaladala 37 kama hilo la kwako, yanakatiza mitaa yote, japo hajapata fursa ya kutumia ruti yenye mshiko, hivyo siku akiruhusiwa ruti nzuri naye atafurahi na kupata raha ya uzinduzi.
Kila mtu huwa na furaha kwenye level yake, nakumbuka mkoa mzima wa Mbeya kuna siku walisheherekea uzinduzi wa lift, pia kunayo ile fly over mnatengeneza kwenu, siku mkiizindua nategemea nayo pia mtasistisha kila kitu kuisheherekea, japo sisi fly over tunazo nyingi hadi kero.
Siku mkimaliza SGR pia mtaipigia makelele ya shangwe, ilhali sisi leo hii tunabisha hodi kwa Museveni tukimpelekea SGR maana kwetu imekua kawaida.
Hivyo ni jambo la kila mtu kufurahi kwa level yake na wakati wake.
Before kq downscaled walikua na 485 pilots and training 45 yearly,saii sijui wakona wangapiHuyo Rubani ana more than 10 years experience. Ndio afike kuendesha dreamliner alianza na akina cesna akiwa flight school kisha akaenda kwa akina boeing 777 and so on. KQ ina pilots zaidi ya hamsini lakini very few are trained to handle a gigantuan bird of this size. Hapana cheza na mwanamke huyo wa Kikenya
Dreamliner yenyu imeletwa na mzungu and most likely they will fly them till you finish training your pilots,now whose worse of?Huyo mpolish ndio bosi wenu mumshukuru.. akili za kizungu zinawaendesha sio za kikenya..
Ndege yetu inameremeta
Magufuli oyeeee
Dreamliner yenyu imeletwa na mzungu and most likely they will fly them till you finish training your pilots,now whose worse of?
Daaaah, umeandika point. Kila MTU asherekee kwa level yake kwa kweli.Hehehe povuuuu....za nini zote hizo, upuzi upi nimeandika, nyie mpo mnasheherekea ujio wa ndege ambapo mpo sahihi maana ni kwenye level yenu, sie kwa level yetu tunasheherekea kupata soko la moja kwa moja kwenda Marekani. Sasa kila mtu anasheherekea kwa level yake.
Kwa mfano umenunua daladala lako la kwanza tangu uzaliwe, unaita wanao msheherekee, hiyo ni poa maana ni mafanikio kwenye level yako. Sasa kuna jirani anayo madaladala 37 kama hilo la kwako, yanakatiza mitaa yote, japo hajapata fursa ya kutumia ruti yenye mshiko, hivyo siku akiruhusiwa ruti nzuri naye atafurahi na kupata raha ya uzinduzi.
Kila mtu huwa na furaha kwenye level yake, nakumbuka mkoa mzima wa Mbeya kuna siku walisheherekea uzinduzi wa lift, pia kunayo ile fly over mnatengeneza kwenu, siku mkiizindua nategemea nayo pia mtasistisha kila kitu kuisheherekea, japo sisi fly over tunazo nyingi hadi kero.
Siku mkimaliza SGR pia mtaipigia makelele ya shangwe, ilhali sisi leo hii tunabisha hodi kwa Museveni tukimpelekea SGR maana kwetu imekua kawaida.
Hivyo ni jambo la kila mtu kufurahi kwa level yake na wakati wake.
Dreamliner yenyu imeletwa na mzungu and most likely they will fly them till you finish training your pilots,now whose worse of?
Jana majirani wamesheherekea nchi yote kupokea ndege, sisi kwa kweli hatufai kuwabeza maana kila mtu anafuraha kulingana na mafanikio ya level yake, maana wao moja hiyo ilhali sisi tunazo 37 kama hizo.
Rais Uhuru anajiandaa kuwa abiria wa kwanza kwenye uzinduzi wa safari za kwenda Marekani, kwa yeye kufanya hivyo ni jambo muhimu maana atakua anaupigia debe huo mkondo na kusababisha ufahamike kote kote.
Rubani wa hiyo ndege atakua dada yetu Irene Koki ambaye ni mjuzi sana kwenye urubani.
------------------------------------------------------------
![]()
An undated photo of Captain Irene Koki, who will fly President Uhuru Kenyatta to New York on KQ's maiden Kenya-US flight. /COURTESY
Africa's first female Dreamliner captain, Irene Koki, will fly President Uhuru Kenyatta to New York on KQ's inaugural flight to the US.
The Kenya Airways pilot became one of the most popular captains in Africa after landing at Nairobi's Jomo Kenyatta International Airport in the airline's fourth Dreamliner
Uhuru will depart in business class from the Nairobi airport at 11.25 pm on October 28. He will land at the John F Kennedy International Airport in New York at 6.25 am the next day.
KQ has started selling tickets for its maiden direct flight to New York, for which economy class fliers will pay Sh89,000 both ways.
In January, KQ CEO Sebastian Mikosz announced that that business class customers will pay Sh257,634 both ways and that the tickets will be subject to government approval.
Kenya Airways said the timings were set to allow connections to and from 40 African destinations.
"The move will cut the flight time between the two cities by more than seven hours," he said, noting it will take 15 hours eastbound and 14 hours westbound.
Economy fliers on Qatar Airways will pay Sh93,000 from Nairobi to New York but they will stop at Doha for two and a half hours and the trip will take 22 hours and 30 minutes long.
The KQ planes will carry 234 passengers, with 30 at the premium world class and 204 in the economy section. They will have four pilots, 12 flight attendants and 85 tonnes of fuel loaded one way.
Captain Irene Koki to fly Uhuru on KQ's maiden US flight

Wow enyewe KQ is a serious companyBefore kq downscaled walikua na 485 pilots and training 45 yearly,saii sijui wakona wangapi
Nikumbushe tukifika 10 mkuuuSiamini mlianza na 37 mlianza na 1,2,3...10 then 20, 30 mpaka 37.
Sisi tumechelewa sana but never say too late, tunaamini tutafika huko pengine tutafeli lkn wanaofanikiwa na kufeli ni walioanza kufanya sisi ndio tumeanza tunaamini nyie pia mlianza ndio maana leo mmefika hapo. tutafika tu wasiwasi wangu ni kuwa na one strong person, badala ya taasisi imara huyu bwana pengine akaondoja 2020 au akaenda mpaka 2025 sijui akiondoka nini kitafuata maana atakae kuja hatujui kama atakuwa regerege au dikteta kama huyu(udikteta mzuri)
Na hakuna siku ghorofa la jirani litakufaa kuliko kibanda chako mwenyewe.Nikumbushe tukifika 10 mkuuu