Wakati majirani wanasheherekea ndege yao ya kwanza, huku raisi atakua abiria wa kwanza kwenye ndege yetu ya kwenda US

Wakenya ni watu flani hivi dizain boring boring
 
Dreamliner yenyu imeletwa na mzungu and most likely they will fly them till you finish training your pilots,now whose worse of?
acha uongo ww dreamliner yetu ili letwa na capt mtanzania anaitwa capt richard alishafanya kazi ethiopia airline na alikuwa ana ongoza izo B787-8 na kama haufahamu tu Tz tuna marubani wengi sana wapo abroad mfano ktk oman air tuna more than 4 pilots there while kenyan you got only 1 ktk ilo shirika la oman air huo ni mfano mdogo tu na this year nafikiri june au july a new dreamliner will land at JNIA (Dar es salaam) ss sijui na chuki yako utajificha wapi
 
Do you want to seriously say Tanzania has more pilots than kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mbona Q400 ilikamatwa? Na AfDB na WB zinatukopesha? Nyinyi si juzi mkataliwa na IMF credit facility to save KShs from falling?


 
Mngekuwa mpo bize kufatilia na mambo ya Kenya ili kuondoa ukabila mngefanikiwa sana, kama mngekuwa mnajadili japo pale Nairobi pawe pasafi hakuna nyumba za udongo kama posta dar mngefika mbali, tunasistiza kama mngeacha kujipendekeza kwa Trump wakati alitutukana naona mngefika mbali, KUMBUKA HIZI NI CASH SIO MKOPO!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…