Wakati mambo makubwa ya utawala wa Magufuli yakitazamiwa kufichuka siku za usoni, Mbowe anahitajika sana kuendesha maridhiano ya hatua ya pili.

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Eric Kabendera ameandika mengi ya kustaajabisha kuhusu hayati John Magufuli aliyekuwa rais wa awamu ya 5 Tanzania. Ukweli kuhusu walipo akina Ben Saanane na Azorly Gwanda umewekwa wazi katika kitabu hicho. Wakati umma ukiwa na taarifa pengine za kuweza kuaminini kwa kiasi kikubwa, inashangaza na kuumiza zaidi kuwa wanaharakati hawa walivyoishia, na hasa uhusika kwa utawala wa awamu ya 5 na hasa aliyekuwa rais wa awamu hiyo.

Samia Suluhu Hassani alikuwa makamu wa rais katika awamu ya 5, mtu wa karibu kabisa na rais Magufuli na kwa namna yoyote ile hawezi kutenganishwa na yalikuwa yakitokea kipindi cha Magufuli, yawe mazuri au mabaya hawezi kutenganishwa nayo!

Mwanzoni rais Samia alionesha adhma ya dhati ya kutaka maridhiano kati ya serikali yake, chama na vyama vya upinzani. Pengine alitaka maridhiano ya upinzani kwani upinzani upo karibu na wanaharakati waliopoteza maisha yao.

Lakini siku za karibuni nguvu ya maridhiano imepungua na ile hulka ya kukosa uvumilivu imeonekana kurudi tena. Suala la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya vilionekana kama njia ya kuleta maridhiano lakini imeonekana wazi kuwa mambo hayo hayakuzingatiwa. Bado wapinzani wameendelea kukosa haki yao ya kuandamana hata kama katiba iliyopo inaruhusu maandamano.

Freeman Mbowe anajulikana kwa diplomasia yake na weledi mkubwa katika masuala ya kisiasa. Mbowe pia anajulikana kwa uvumilivu mkubwa aliouonesha katika matukio mbalimbali ambapo upinzani ulinyang'anywa haki yake wazi wazi bila kificho. Busara hizi zimeangaliwa na baadhi ya wanaharakati kama upole uliozidi au hata kuwa udhaifu.

Kitabu cha Eric Kabendera kimefunua ukurasa mpya wa ukweli kuhusu awamu ya 5. Kitabu hiki kimeeleza mambo ya kutisha hasa kuhusu hayati Magufuli na uhusika wake kwenye maisha ya baadhi ya watu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha. Haya yote na mengine mengi ndio kwanza yanaibua hisia kali zaidi pengine kuwahi kutokea kuhusu awamu ya 5 ambayo rais Samia alikuwa nguzo ya pili.

Bila shaka yataibuka mengi mno na pia wataibuka watu wengi mno baada ya Kabendera kufungua njia. Nionavyo mimi siku za usoni patahitajika maridhiano. Maridhiano kati ya walioumizwa na serikali ya awamu ya 5 ambayo rais Samia alikuwa sehemu muhimu sana.

Kwa muktadha huu Freeman Mbowe ndiye mtu sahihi wa kuwezesha maridhiano hayo kwani tayari amekuwa sehemu ya maridhiano hayo. Freeman Mbowe ni mwanadiplomasia, lakini pia ni mtu mwenye kuthubutu. Tumeona jinsi aliyohatarisha maisha yake mara kadhaa akitetea demokrasia na haki. Hiyo Mbowe apewe nafasi kama lengo ni kutafuta muafaka wa kitaifa. Rais Samia ana kazi kubwa ya kuwa mkweli na mwenye utashi wa kisiasa kuliponya taifa letu la sivyo na yeye anakumbana na lawama ambazo siku zijazo zinaweza kumlazimisha kusimama mbele ya sheria kujibu maswali mengi ya upotevu wa haki za watu wakati wa utawala wa awamu ya 5.
 
Daaah jamani## mbowe must go
 
Maridhiano ya Mbowe ni kufutiwa kabisa Kesi ya ugaidi

Maridhiano ya Kitaifa yaliongozwa na Prof Mkandara na Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo

Mbowe akipoteza Uenyekiti Rais ajaye 2030 anaweza kufufua kiporo cha ugaidi 🐼
 
Hakuna maridhiano yeyote ya maana. Kilichotokea ni kurudisha yale mambo ambayo tayari yalikuwepo kisheria hakuna lipya ndiyo maana Mbowe anapata shida. Ni lazima awaeleze wana Chadema atafanya kitu gani tofauti
 
Kuna fukuto linakuja na anayeweza kusimama upande wa wananchi ni Mbowe kwa kiasi kikubwa la sivyo hakuna nguvu yoyote katika mengi yatakayowekwa wazi siku si nyingi.
 
Unataka kutupanga. Mbowe hana nguvu hiyo kwa wananchi. Wananchi pia hawana cha kufanya. Kuna sativa alitekwa mwaka Jana, kamtaja na mtekaji wake kabisa, kipi wananchi mmefanya?

Mbowe na chadema kwa ujumla walizunguka nchi nzima kuwataja mafisadi papa akiwemo lowassa, rostam n.k. kipi wananchi walifanya?

Maridhiano kwa nn yahusu awamu ya 5? Mama Samia kwa nini abebe msalaba wa mwingine? Wanakua wanaridhiana nini hapo?

Labda ungesema maridhiano yahusu kinachotokea sasa, Kuna viongozi wa chadema wameuliwa(kibao na wengine), wengine hawajulikani walipo, hilo labda anaweza kulibeba yeye na kuhitaji maridhiano lakini sio abebe ya awamu iliyopita
 
Mbowe anaweza kusimama kama kiunganishi, yeye ndiye kiongozi wa kundi kubwa zaidi la kisiana nchini ambalo viongozi wake ni waathirika wakubwa wa ufedhuli wa JPM.

Kumbe tatizo sio Mbowe, ni wananchi akiwepo wewe na mimi.

Hapa ndipo watanzania tunakosea. Kwani hujui kuwa SSH alikuwa makamu wa rais awamu ya 5? Unafikiri kuwa hahusiki na mambaya au mazuri ya awamu ile?

Hayo yamezungumzwa hapo juu. Tatizo ni kwamba hupendi kuona haki ikitendeka. Kwanini huoni kama panahitajika uponyaji wa mioyo ya watanzania juu ya mauaji na kupotea kwa watanzania wengi wakati wa awamu ya 5? Weka mantiki zako vizuri, usimtetee Magufuli kwani alifanya maovu mengi na usipende kuwa sehemu ya madhambi hayo.
 
Kuna fukuto linakuja na anayeweza kusimama upande wa wananchi ni Mbowe kwa kiasi kikubwa la sivyo hakuna nguvu yoyote katika mengi yatakayowekwa wazi siku si nyingi.
Mbowe atasimama upande wa Wananchi gani wakati hata ubunge hapati 😂😂
 
Point yangu ni kuwa hiko kisipofanyika, nini kitatokea?? Mengi yamewahi kuwekwa wazi kabisa nikakutolea mfano wa chadema na mbowe kuhusu kuwataja mafisadi papa, nini kilitokea? Asipofanya hivyo je nini kitatokea?

Kuhusu mama Samia kuwepo, hiyo tunajua hakua na nhuvu yoyote ya kuzuia lolote hivyo hawezi kubeba msalaba wa mwingine. Ndio maana nikasema labda hayo maridhiano yahusu yanayotokea sasa, hayo anacho cha kusema na kufanya.

Huo ni utetezi kuhusu jiwe? Pengine hujaelewa au labda huu uzi ulikua unataka kuwasilisha kitu kingine.
 
Mbowe atasimama upande wa Wananchi gani wakati hata ubunge hapati 😂😂
Sio lazima awe mbunge na sijui kwanini unajua kuwa ccm hawatamtendea haki na bado unaishabikia ccm, siolewe akilii zenu zipoje nyie watu!
 
Kuna fukuto linakuja na anayeweza kusimama upande wa wananchi ni Mbowe kwa kiasi kikubwa la sivyo hakuna nguvu yoyote katika mengi yatakayowekwa wazi siku si nyingi.
Kampeni zenu tu hizo.
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
 
Maridhiano ya Mbowe ni kufutiwa kabisa Kesi ya ugaidi

Maridhiano ya Kitaifa yaliongozwa na Prof Mkandara na Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo

Mbowe akipoteza Uenyekiti Rais ajaye 2030 anaweza kufufua kiporo cha ugaidi 🐼
Kabendera kasha lipuwa mlango sasa kilakitu kipo wazi....yajayo YANATISHHAH
 
Sio lazima awe mbunge na sijui kwanini unajua kuwa ccm hawatamtendea haki na bado unaishabikia ccm, siolewe akilii zenu zipoje nyie watu!
Mbowe ameshastaafu Utumishi wa Umma mwaka juzi sasa akalee wajukuu 😀
 
Eric Kabendera ameandika mengi ya kustaajabisha kuhusu hayati John Magufuli aliyekuwa rais wa awamu ya 5 Tanzania. Ukweli kuhusu walipo akina Ben Saanane na Azorly Gwanda umewekwa wazi katika kitabu hicho. Wakati umma ukiwa na taarifa pengine za kuweza kuaminini kwa kiasi kikubwa, inashangaza na kuumiza zaidi kuwa wanaharakati hawa walivyoishia, na hasa uhusika kwa utawala wa awamu ya 5 na hasa aliyekuwa rais wa awamu hiyo.

Samia Suluhu Hassani alikuwa makamu wa rais katika awamu ya 5, mtu wa karibu kabisa na rais Magufuli na kwa namna yoyote ile hawezi kutenganishwa na yalikuwa yakitokea kipindi cha Magufuli, yawe mazuri au mabaya hawezi kutenganishwa nayo!

Mwanzoni rais Samia alionesha adhma ya dhati ya kutaka maridhiano kati ya serikali yake, chama na vyama vya upinzani. Pengine alitaka maridhiano ya upinzani kwani upinzani upo karibu na wanaharakati waliopoteza maisha yao.

Lakini siku za karibuni nguvu ya maridhiano imepungua na ile hulka ya kukosa uvumilivu imeonekana kurudi tena. Suala la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya vilionekana kama njia ya kuleta maridhiano lakini imeonekana wazi kuwa mambo hayo hayakuzingatiwa. Bado wapinzani wameendelea kukosa haki yao ya kuandamana hata kama katiba iliyopo inaruhusu maandamano.

Freeman Mbowe anajulikana kwa diplomasia yake na weledi mkubwa katika masuala ya kisiasa. Mbowe pia anajulikana kwa uvumilivu mkubwa aliouonesha katika matukio mbalimbali ambapo upinzani ulinyang'anywa haki yake wazi wazi bila kificho. Busara hizi zimeangaliwa na baadhi ya wanaharakati kama upole uliozidi au hata kuwa udhaifu.

Kitabu cha Eric Kabendera kimefunua ukurasa mpya wa ukweli kuhusu awamu ya 5. Kitabu hiki kimeeleza mambo ya kutisha hasa kuhusu hayati Magufuli na uhusika wake kwenye maisha ya baadhi ya watu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha. Haya yote na mengine mengi ndio kwanza yanaibua hisia kali zaidi pengine kuwahi kutokea kuhusu awamu ya 5 ambayo rais Samia alikuwa nguzo ya pili.

Bila shaka yataibuka mengi mno na pia wataibuka watu wengi mno baada ya Kabendera kufungua njia. Nionavyo mimi siku za usoni patahitajika maridhiano. Maridhiano kati ya walioumizwa na serikali ya awamu ya 5 ambayo rais Samia alikuwa sehemu muhimu sana.

Kwa muktadha huu Freeman Mbowe ndiye mtu sahihi wa kuwezesha maridhiano hayo kwani tayari amekuwa sehemu ya maridhiano hayo. Freeman Mbowe ni mwanadiplomasia, lakini pia ni mtu mwenye kuthubutu. Tumeona jinsi aliyohatarisha maisha yake mara kadhaa akitetea demokrasia na haki. Hiyo Mbowe apewe nafasi kama lengo ni kutafuta muafaka wa kitaifa. Rais Samia ana kazi kubwa ya kuwa mkweli na mwenye utashi wa kisiasa kuliponya taifa letu la sivyo na yeye anakumbana na lawama ambazo siku zijazo zinaweza kumlazimisha kusimama mbele ya sheria kujibu maswali mengi ya upotevu wa haki za watu wakati wa utawala wa awamu ya 5.
Kuna mamba ya kijinga sana watu ,hushabikia, hivi leo sarikali hii yahusiana na nini japo ,Rais wa sasa alikua Makamu wake? ni lipi laweza andikwa kwa Mwendazake na kuchafua serikali nzima ya sasa?

Katiba ya inchi hii kwa makam wa Rais yupo ili mradi tu , hana mahamuzi yoyote labda lile ameshirikishwa ,au Menginene yale anaweza shirikishwa rasmi au kupitia kolido , katiba yetu , haimpi uhuru wa kivile ,M/ Rais kama nchi zingie mfano Kenya.

So uyu mama yapo mengine mwaweza mlaum bure linapokuja kwamba alikua Makam wa Rais .Mlaumini kwa sasa kama Rais, Mipango mbele ya safari mtakuja kumlaum ila katiba yetu ndo shida.
 
Hakuna maridhiano yeyote ya maana. Kilichotokea ni kurudisha yale mambo ambayo tayari yalikuwepo kisheria hakuna lipya ndiyo maana Mbowe anapata shida. Ni lazima awaeleze wana Chadema atafanya kitu gani tofauti
Hujaelewa kilichoandikwa. Mleta mada anapendekeza awe kama Askofu Desmond Tutu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom