Wakati manara anatutukana mashabiki wa Yanga akujua vice president wakati huo ni shabiki wa yanga

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete.

Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania mama yetu ni shabiki wa yanga je na yeye Ile kauli inamuhusu.

Haji manara inabidi utuombee samahani mashabiki wote wa yanga akiwemo na raisi wetu..

Over
 
Wewe ni mrugaruga hujui utani wa jadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…