joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
yeah right....https://www.facebook.com/Jana Magufuli amerudia tena kwamba kamwe hataki kuongeza hata siku moja, mara muda wake utakapo kamilika. Katika kuthibitisha hilo, amesema atahakikisha uchaguzi wa October mwaka huu utafanyika kama ulivyopangwa pamoja na kuwepo kwa Corona.
Hii ni kinyume kabisa na marais wa Rwanda na Uganda ambao tayari wameonyesha nia za kuendelea kubaki madarakani, wakati Uhuru Kenyatta akijijengea mazingira ya kuwa waziri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma maelezo yangu vizuri Sana, utagundua kwamba Kagame ni miongoni mwa marais niliowataja kubakia madarakani. Hilo la role model wake unalijua wewe.yeah right....
embu msome huyu "role model" wake alivyotamka 2010 na kilichotokea 2017.
View attachment 1399817
na mimi nilitaka tu kukukumbusha tu kuwa JPM siyo wa kwanza kusema hatazidisha presidential terms.Soma maelezo yangu vizuri Sana, utagundua kwamba Kagame ni miongoni mwa marais niliowataja kubakia madarakani. Hilo la role model wake unalijua wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya mnafurahi Sana kusikia kwamba ataondoka madarakani kwasababu amewafunika katika kila idara. Kumbukeni kwamba bado ana miaka mitano na nusu ya kuendelea kuwaburuza na kuwachapa bakers. Hahahaha.Ingependeza zaidi kama angehakikisha kwamba tume ya uchaguzi ipo huru na kwamba uchaguzi utakuwa wa haki. Wapinzani pia wawe huru kufanya shughuli zao za kisiasa bila kudhulumiwa. Uhuru wa kujieleza nao, na wa wanahabari pia ulindwe kisheria kama ilivyo kwenye katiba hiyo hiyo inayotoa muongozo kuhusu muda wake wa kutawala. Meanwhile...
Forbes na The times zimemtaja kuwa ndiye rais bora barani Africa mara mbili mfululizo, na mwaka huu pia huenda akawa mshindi, inaonekana wote hawa hawana akili kukuzidi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli angeweza kuacha urais bila aibu angejiuzulu hata kesho.
Ni mtu ambaye urais umemshinda na yeye kashajua hilo.
Kilichobaki ni maigizo tu.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Aondoke asiondoke hayatuhusu sisi, taarifa za kuondoka kwake umezileta humu wewe mwenyewe. Alipoingia hatukupinga wala kumpigia kampeni, tulikuwa bize na masuala ya nchi yetu. Kuhusu kutuburuza, ametuburuza kweli. Maanake tumefaidi kweli kweli na ubabe wake na sera zake mbovu, kibiashara kati ya Kenya-Tz. Ambapo mmevunja rekodi ya miaka miine, ya kununua bidhaa za Kenya kwa wingi, zaidi ya Kenya inavonunua kutoka kwenu, 'deficit' kwenye biashara kati ya nchi zetu imewalemea nyie kwa kiwango cha $35million.Tanzania trade with Kenya turns into deficit Ukuaji wa uchumi Kenya, 5.6% kwa miaka sita. Viwanda vimeongezeka na wawekezaji tunawapokea kila uchao.Wakenya mnafurahi kusikia kwamba ataondoka madarakani amewafunika katika kila idara. Kumbukeni kwamba bado ana miaka mitano na nusu ya kuendelea kuwaburuza na kuwachapa bakers.
Bado ana miaka mitano. Lazima aseme hivyo. Sasa siku zikikaribia kukata utaona. Kikubwa lawama zitaangukia kwa wananchi ambao itaonekana wameandamana ili rais aongeze muda huku "viongozi wa dini" wakichochea.https://www.facebook.com/Jana Magufuli amerudia tena kwamba kamwe hataki kuongeza hata siku moja, mara muda wake utakapo kamilika. Katika kuthibitisha hilo, amesema atahakikisha uchaguzi wa October mwaka huu utafanyika kama ulivyopangwa pamoja na kuwepo kwa Corona.
Hii ni kinyume kabisa na marais wa Rwanda na Uganda ambao tayari wameonyesha nia za kuendelea kubaki madarakani, wakati Uhuru Kenyatta akijijengea mazingira ya kuwa waziri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Why should Firbes and The Times be the gild standard?Forbes na The times zimemtaja kuwa ndiye rais bora barani Africa mara mbili mfululizo, na mwaka huu pia huenda akawa mshindi, inaonekana wote hawa hawana akili kukuzidi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Forbes na The times wanaishi wapi?? Kwamba Mambo ya utekaji na watu kuokotwa kwenye viroba ufukweni huku wengine wakimiminiwa risasi hadharani ndio ubora??Forbes na The times zimemtaja kuwa ndiye rais bora barani Africa mara mbili mfululizo, na mwaka huu pia huenda akawa mshindi, inaonekana wote hawa hawana akili kukuzidi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Miseveni (2000) alisema mtu mwenye miaka 75 hawezi kukubaliwa kuongoza Nchi kwa kuwa katika umri huo sifa yake kuu huwa ni Usahaulifu.na mimi nilitaka tu kukukumbusha tu kuwa JPM siyo wa kwanza kusema hatazidisha presidential terms.
wapo waliosema hivyo na bado walizidisha.
na katika marais 3 Africa walio inconsistent katika kauli zao, JPM yumo!
Hahahaha, umekua mpiga ramli sio?, hebu tuambie Kuhusu hatma ya maambukizi ya Corona baada ya kipindi cha mwezi mmoja toka sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado ana miaka mitano. Lazima aseme hivyo. Sasa siku zikikaribia kukata utaona. Kikubwa lawama zitaangukia kwa wananchi ambao itaonekana wameandamana ili rais aongeze muda huku "viongozi wa dini" wakichochea.
Sent using Jamii Forums mobile app
NonesenseWhy should Firbes and The Times be the gild standard?
I can cite The Economist blasting him as well, several times.
Magufuli kaangusha mapato ya bidhaa za kilimo kwa mwaka mmoja ulioishia August 2019 kwa asilimia 60 kulinganisha na mwaka wa awali yake.
Ripoti ya BOT ya October 2019 inaonesha hivyo.
Largely kwa kuingilia biashara ya korosho kijinga.
How is that being the best president?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Aondoke asiondoke hayatuhusu sisi, taarifa za kuondoka kwake umezileta humu wewe mwenyewe. Alipoingia hatukupinga wala kumpigia kampeni, tulikuwa bize na masuala ya nchi yetu. Kuhusu kutuburuza, ametuburuza kweli. Maanake tumefaidi kweli kweli na ubabe wake na sera zake mbovu, kibiashara kati ya Kenya-Tz. Ambapo mmevunja rekodi ya miaka miine, ya kununua bidhaa za Kenya kwa wingi, zaidi ya Kenya inavonunua kutoka kwenu, 'deficit' kwenye biashara kati ya nchi zetu imewalemea nyie kwa kiwango cha $35million.Tanzania trade with Kenya turns into deficit Ukuaji wa uchumi Kenya, 5.6% kwa miaka sita. Viwanda vimeongezeka na wawekezaji tunawapokea kila uchao.
Wewe hata hilo neno kuliandika tu hujui.
Bado haifichi upoyoyo wakoWewe hata hilo neno kuliandika tu hujui.
The joke is on you jack!
Sent from my typewriter using Tapatalk